Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,626
- 1,098
Mama wa Kingazija gari ilimshinda na ghafla akawa ameliparamia lango la ofisi ya Usalama wa Taife na nusura alingoe.
Wasamaria wema: Yahe wataka leta chokochoko hapo, ingiza gea ya nyuma, ama sivyo chombo kitabomoa lango!
Mwanamama: Waungwana mie trafiki wamenipa leseni ya kuendesha gari mbele tu.
Hapo ikabidi msamaria mwema ashike usukani akamsaidia kurudisha gari nyuma na kumwambia; Yahe, tayari, haya panda katafute leseni ya rivasi!