bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,459
- 12,670
Una shangaa nini sasa?? Mbona mimi ninao kama saba hiviUna mpenzi humu muosha rungu??
Anhaa!ulimaanisha mpenzi mtazamaji wa zile intavyuuuu

Kama unazo usikae kujinga'tang'ata..gernivorous mwisho ataghairiNajiamini ndo maana nimeileta halafu tamaa ninazo ndo maana Nina..di..ndi...shaaaaaa!
DJ sepetu
Wewe umejuaje kama ni beautiful embu acha kutupiga marunguKuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!
Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!
Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!
Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!
DJ sepetu
Sina muda na huo upuuziSawa mkuu we huhitaji niku interview
DJ sepetu
Shigongo utawajua tu, umejuaje ni beautiful kama haujaonana nae??Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!
Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!
Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!
Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!
DJ sepetu
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!
Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!
Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!
Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!
DJ sepetu
kumbe!
KUMBUKA FORM FOUR WENZIO WAKO PREP MUDA HUU,
HALAFU UKIPATA ZIRO NECTA UJE KULIALIA HAPA!
Sent using Jamii Forums mobile app