Mwanamke wa Dar

Wote nyie mnaobishana kwa mada hii wote mmetokea mikoani ..dar kila mtu kaja kutafuta hakuna cha wa dar wala wa mikoa wote ninyi ni watanzania acheni usangwenya, acheni taarabu mpango mzima ni kutafuta pesa sasa nyie endeleeni kudadavuana watu wanasonga mbele.
 
Ww ndo umecomment PUMBA.....
Kwani umekuja kwenye hii thread kutafuta pesa?,si ukauze vitumbua kitaani kwenu?

Et maneno ya taarabu...sisi hapa tunataniana tu na wala hujaitwa uandike chochote.....

Don't spoil the funny!!!
 
Nisaidie kunyamazisha waporipori
kajenge numba kwanza uache kulala kwenye vifusi.. pia utafute na kazi ya kufanya maana wazururaji wote mataondolewa mjini mpelekwe kambini,
 
kajenge numba kwanza uache kulala kwenye vifusi.. pia utafute na kazi ya kufanya maana wazururaji wote mataondolewa mjini mpelekwe kambini,
Bado mnaringia nyumba zenu za tope zilizojengwa kwa pesa za kilimo na mifugo Tsn 178,500
 
kwa maana hiyo ni kwamba wanawake wa dar ni punda? wana mistarii? au vip mi sjaelewa kabisa
 
naona mwanaume wa dar kafungua Uzi
 
Watu wa mkoa mkijaga dar mnaaga kijiji kizima..sisi tunaaga familia tu tukiwa tunakuja huko shamba.
 
Mwanamke acha aitwe mwanamke, shida yenu wanaume wa Dar nanyi mnataka kila mwanamke analofanyiwa nanyi mfanyiwe na mfanywe, mnatuaibisha saaana. Sie tuna wanawake wanaoinjoy raha za mume, nyie mnazichezea tu hizo papuchi "kimoja chalii"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…