shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,428
- 3,510
Habarini wakuu,
Miaka kama 10 hivi iliyopita tulikuwa tunacheza mechi ya kuagana wanaohitimu na wanaobaki, basi kuna msichana nilikua nampenda na siku hiyo ilikuwa nii lazima nijitahidi kuonana nae manake tulikuwa tunakaribia kuanza NECTA, nilimuona upande aliokuwa amekaa na wenzake nikaomba kampani kwa washikaji wanisindikize.
Kufika pale tulipiga piga stori jamaa wakawa wananiacha nibaki naye, naye akawa anaondoka ikabidi nimuite lol, jibu alilonipa ni baya kuliko majibu ya vibuti vyote nilivyowahi pata. alisema hivi UNATAKA NILAMBE MOTO UJUE NIMEKUKATAA. Nilikuwa nishamtongoza kabla ila akawa ananizungusha, jamaa walimbembeleza tuongee akagoma.
Baada ya miaka 10.
Tarehe 16 nimekuta request Fb ya huyu mwanamke na meseji juu nimechati naye mambo mengi mpaka ya kipindi kile manake ndio ilikuwa mwisho kuonana naye anadai nilikata tamaa mwenyewe mapema hata yeye alikuwa ananipenda anaomba tuwe pamoja wakuu nimemwambia kuwa hilo haliwezekani nikikumbuka nilivoaibika siku ile huyu mwanmke anadai nimpe tu ujauzito kama nikiamua kumuoa sawa nikimtelekeza sawa yeye atalea anaonyesha yuko very desparate na hapo yuko na 27 tu.
Somo kwa dada zetu unapomkataa tumia jibu zuri hakuna anayejua kesho itakuwaje na akiba haiozi.