Mwanamke unampomkataa mtu tumia lugha nzuri

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,381
2,000
Habarini wakuu,

Miaka kama 10 hivi iliyopita tulikuwa tunacheza mechi ya kuagana wanaohitimu na wanaobaki, basi kuna msichana nilikua nampenda na siku hiyo ilikuwa nii lazima nijitahidi kuonana nae manake tulikuwa tunakaribia kuanza NECTA, nilimuona upande aliokuwa amekaa na wenzake nikaomba kampani kwa washikaji wanisindikize.

Kufika pale tulipiga piga stori jamaa wakawa wananiacha nibaki naye, naye akawa anaondoka ikabidi nimuite lol, jibu alilonipa ni baya kuliko majibu ya vibuti vyote nilivyowahi pata. alisema hivi UNATAKA NILAMBE MOTO UJUE NIMEKUKATAA. Nilikuwa nishamtongoza kabla ila akawa ananizungusha, jamaa walimbembeleza tuongee akagoma.

Baada ya miaka 10.
Tarehe 16 nimekuta request Fb ya huyu mwanamke na meseji juu nimechati naye mambo mengi mpaka ya kipindi kile manake ndio ilikuwa mwisho kuonana naye anadai nilikata tamaa mwenyewe mapema hata yeye alikuwa ananipenda anaomba tuwe pamoja wakuu nimemwambia kuwa hilo haliwezekani nikikumbuka nilivoaibika siku ile huyu mwanmke anadai nimpe tu ujauzito kama nikiamua kumuoa sawa nikimtelekeza sawa yeye atalea anaonyesha yuko very desparate na hapo yuko na 27 tu.

Somo kwa dada zetu unapomkataa tumia jibu zuri hakuna anayejua kesho itakuwaje na akiba haiozi.
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,941
2,000
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
 
unadhani alikuwa hajaanza kipindi hicho?
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,381
2,000
Sasa wewe piga hesabu mwenyewe miaka 10 imeshapita na bado maisha yako ni ya kuungaunga, sasa angekukubali kipindi kile si ungemfuja tu bure?
mkuu atleast angenijibu kistaarabu ingekua poa kidogo we hilo jibu na wanafunzi wanasikia pembeni vuta picha unavyoaanza kuondoka.
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,381
2,000
Utakuwa bwege unajua miaka 10 alikuwa anafanya nn piga chini endelea na life lako itakuwa aliyempenda kamzingua anakuja kwako kupoza machungu
kweli atakuwa naataka kupooza machungu nahakikisha hiyo nafasi haipati
 
pinky toto

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
216
250
Kwanza na wew ulikuwa na akili za kitoto tu, maana ungemchezea tu ukamuacha. Sasa jtathmn km una mpnda kuwa nae km humpnd muache ucmpe mimba wala kumtumia
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,381
2,000
Ulikua mdogo, hadi hauonekani... Pole, na yeye anahangaika sasa. Ila kama bado analipa chukua goma
mkuu ilikuwa shida sana ila nashukuru na yeye anahangaika sasa japo imechukua mda mrefu.
 
nsanzu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,896
2,000
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
Unashangaa miaka 17, wakati mimi nilichelewa kuanza nikiwa na 14 yiaz old?
 
Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,285
2,000
Angekukataa kistaarabu Leo usingemkumbuka huon Leo fasta tu umekumbka
 
STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
12,913
2,000
Wanasema wasichomaaniasha na unakuta wanaume wenyewe hatuna muda wa kuwasoma nini wanamaanisha....
 
KARANJA 007

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
6,004
2,000
acha kujishaua wewe
miaka 10 nyuma ina maana alikuwa na miaka 17
sasa miaka 17 angeanzaje mapenzi ,alikuwa nahaki ya kukukataa maana huo ni ubakaji ,tena utakuwa ulikuwa muhuni kutongoza watoto
yaani anastahili pongezi sana huyo binti ningekuwa mwanaume ningemuoa
angekukubali hata sasa hivi ungekuwa nae au unaandika tu ?
Duuh polepole mamii,utamuua mleta mada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom