Mwanamke uliyevaa suruali leo

Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,923
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,923 2,000
Kuna mmoja aliwahi kukosa mume kwa sababu ya kuvaa visuruali mshenzi! Vile vinavyomchora maungo yake! Huwa anajuta hadi kesho. Aliapa kutovaa suruali tena.

Nilimshauri asijutie bahati ile bali ajitengeneze upya. Watakuja wengine tu.
Vp kashapata mkuu mana tunatofautiana ujue na maisha ya saiv ni connection kama hivyo
 
interegenciadick

interegenciadick

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
319
Points
500
interegenciadick

interegenciadick

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
319 500
Mkuu..... Lakini basi ngoja nikuache na huo uzamani wako!
 
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
7,074
Points
2,000
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
7,074 2,000
Kuvaa suruali hapamuondolei mwanamke uanauke wake.

Wanawake mna mavazi yenu, na wanaume pia wana mavazi yao...ukivaa suruali ukatembea barabarani kila mwanaume unaepishana nae lazima akutamani na kupelekea akutongoze.
 

Forum statistics

Threads 1,343,109
Members 514,937
Posts 32,774,067
Top