Mwanamke uliyevaa suruali leo

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Messages
776
Points
1,000

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2019
776 1,000
Sisemi sana ila nataka tu utambue wewe si mwanamke

Sisemi sana ila nataka tu uelewe huna sifa za kuwa mwanamke

Sisemi sana nataka tu ufahamu kuwa katika list ya wanawake (haupo)

ILA HIII NI :

Kwa wanawake wote waliovaa suruali wengine mnaita taiti,wengine skini nk nk NA mnapita nazo barabarani

Wengine mmevaa hapo mpo ofisini mwenu mnapuyanga na suruali toka ingia

Suruali zimewachonga maungo yenu yani hadi mtu akikuangalia anajua urefu/upana wa naniii

nyie wote hiii ni yenu na hampaswi wala kukaribiwa

kupewa sifa za uanamkeHII HAIWAHUSU :

Wanawake mliovaa nilivyovitaja lakini mpo nyumbani

na kama umevaa upo nnje basi umepitisha kanga juu

Wote waliovaa nilivyotaja na wapo katka mazingira ambayo si Ya wazi (public) Haiwahusu hiiWenye kuvaaa vitu vya namna hiiiiii (mshindwe na mlegeeee)👇👇👇

Hot-Fashion-Animals-Tiger-Skin-Tone-Women-Slim-Fit-Skinny-Leggings-Pants-Stretch-Trouser-For-L...jpg


 

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,884
Points
2,000

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,884 2,000
Kuna mmoja aliwahi kukosa mume kwa sababu ya kuvaa visuruali mshenzi! Vile vinavyomchora maungo yake! Huwa anajuta hadi kesho. Aliapa kutovaa suruali tena.

Nilimshauri asijutie bahati ile bali ajitengeneze upya. Watakuja wengine tu.
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
7,082
Points
2,000

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
7,082 2,000
Kuna mmoja aliwahi kukosa mume kwa sababu ya kuvaa visuruali mshenzi! Vile vinavyomchora maungo yake! Huwa anajuta hadi kesho. Aliapa kutovaa suruali tena.

Nilimshauri asijutie bahati ile bali ajitengeneze upya. Watakuja wengine tu.
Ushauri mzuri sana umempa..hongera kamanda!
 

Forum statistics

Threads 1,343,548
Members 515,090
Posts 32,788,230
Top