Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
si umeona? jamaa alitundika ma video ya youtube mpaka afrodenzi akafkiria anatongozwa na muanzilishi wa youtube. hehehe hakyanani jamaa humuwezi, yaliobaki jifundishe mashairi tumpe kampani mwanakijiji kwenye sredi zake.

Halfu mkuu kama vile una-initiate hizi moves eheeeee, unanipiga changa la macho huku unanipaka mafuta mgongoni
 
Ohooo!!! There kwanza kabla ya yote nani alihalalisha habari ya you tube thread ile ya kule

mkuu kwa ufupi unatakiwa kuachia ngazi, maanake una mpinzani ambae kahifazi na kumemoraiz video za youtube zote mpaka kwaya za john komba.

Aisee, ngoja nimtafutie mtu BAN ya miezi sita hii haiwezekani

si umeona? jamaa alitundika ma video ya youtube mpaka afrodenzi akafkiria anatongozwa na muanzilishi wa youtube. hehehe hakyanani jamaa humuwezi, yaliobaki jifundishe mashairi tumpe kampani mwanakijiji kwenye sredi zake.

Ha ha ha what a clever idea ngoja aje hashycool hapa btw uporoto01 yuko wapi
Nipo TF naona ufate ushauri wa kamanda Kloro achia ngazi kabla hujaaibika jamaa noma na leo kaahidi kuleta zingine kama 20 hivi mbinu yake imemgusa sana AD ndo mana anadai talaka kila kukicha,pole sana huwezi kushindana na Youtube.
 
Halfu mkuu kama vile una-initiate hizi moves eheeeee, unanipiga changa la macho huku unanipaka mafuta mgongoni
heheh yaani bado una ka hope? mimi nakushauri usishindane na youtube bana, ile njemba hata haiongei yaani inalembea video ya enrique halaf inasubiria majibu. hehehe kweli mjini shule aisee, skujua kama youtube inaweza ikamtoa mtu kivile yaani.
 
Nipo TF naona ufate ushauri wa kamanda Kloro achia ngazi kabla hujaaibika jamaa noma na leo kaahidi kuleta zingine kama 20 hivi mbinu yake imemgusa sana AD ndo mana anadai talaka kila kukicha,pole sana huwezi kushindana na Youtube.
au anaweza akatek advantage ya ugomvi wa michelle na hashy, akaondoka na michelle (NB kama mzee youtube hana mpango na michelle lakini)
 
Duh kwani wewe umejaribiwa mara ngapi maana unaonyesha yamekukuta ya kutosha

Semaa ili tujue wanaume na tuweze kubadilisha stail ya ku aproach
 
au anaweza akatek advantage ya ugomvi wa michelle na hashy, akaondoka na michelle (NB kama mzee youtube hana mpango na michelle lakini)
Kwa michelle kaisha chelewa Bacha kamuwahi wameenda kupunguza stress,nashauri arudi kwa Pearl mbona kulikuwa na chemistry pale na wa kwanza kumpa pole alipougua ?
 
Nipo TF naona ufate ushauri wa kamanda Kloro achia ngazi kabla hujaaibika jamaa noma na leo kaahidi kuleta zingine kama 20 hivi mbinu yake imemgusa sana AD ndo mana anadai talaka kila kukicha,pole sana huwezi kushindana na Youtube.

uporoto01 na Klorokwin yaani na nyie mnasaidia kuzamisha jahazi can't believe
 
Kwa michelle kaisha chelewa Bacha kamuwahi wameenda kupunguza stress,nashauri arudi kwa Pearl mbona kulikuwa na chemistry pale na wa kwanza kumpa pole alipougua ?

Dah!!! uporoto01 kwahiyo ndio mnajaribu kunimaliza kabisa
 
uporoto01 na Klorokwin yaani na nyie mnasaidia kuzamisha jahazi can't believe

halaf naskia kuna uwezekano JF wakapigwa tafu na youtube baada ya kuvunja rekodi jana kwa transfer ya video nyingi to JF in a matter of seconds. dah! ze only solution ni kumbambikia kesi mzee wa youtube tu ili akalale lupango na baba mchungaji
 
Kwa michelle kaisha chelewa Bacha kamuwahi wameenda kupunguza stress,nashauri arudi kwa Pearl mbona kulikuwa na chemistry pale na wa kwanza kumpa pole alipougua ?
dah! kama hali ndio hii, basi nadhani afuate ushauri wangu wa mwanzo, ajifundishe mashairi halaf tutafte sredi za mwanakijiji tuchangie. hii nazani itamsaidia kurecover soon.
 
halaf naskia kuna uwezekano JF wakapigwa tafu na youtube baada ya kuvunja rekodi jana kwa transfer ya video nyingi to JF in a matter of seconds. dah! ze only solution ni kumbambikia kesi mzee wa youtube tu ili akalale lupango na baba mchungaji

Namtafutia kesi jamaa ili ale BAN ya miezi 6
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom