Mwanamke ukitaka kuolewa, olewa na mwanaume anayekupenda na sio mwanaume unayempenda

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,964
Reaction score
5,552
Hapo vip!!

Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.

Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.

Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisasa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%

Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alipenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.
 
Hayanaga formula,
 
Ndoa ni utii wa kiapo na kutimiza majukumu, mkiwa watii wa kiapo na kila mmoja akatimiza majukumu kwa muda mrefu upendo wa asili unajijenga.
 
Ni kweli naona wanawake wanahangaika na kuteseka Sana baada ya ndoa kwa kujifanya wamependa wao na kuibukia mikononi mwa wasanii wanaokwenda saluni za kike kama wanawake kupaka kujichubua na kuweka dawa nyqele wanatuacha sisi wenye lipua kama baba ........vo lakini tuna mapemzi ya dhati na mkwanja tunao na tunajua kutafuta
 
Wenye akili na ufahamu mkubwa ndio watakuelewa
 
Hapo vip!!

Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.

Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.

Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisasa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%

Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alipenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.

Ujinga tu
 
Dah mkuu sometime kuishi na mtu usiyempenda kwa mwanaume ngumu sana ila wanawake wanaweza kuishi na yeyote hata kama jini.
Mkuu wanaume mambo ya kuusikiliza moyo yaliisha toka mwaka 47.
Tunafanya kwa reasons na sio feelings.
Kuoa mwanamke anaekupenda wewe zaidi kuliko wewe ina amani kubwa sana ya moyo
 
Back
Top Bottom