Mwanamke thamani yake ni nini hasa

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
4,616
Reaction score
3,502
Kiukweli huwa inanichanganya sana ninapojiuliza swali hili mwenzenu. Wengine wanasema thamani yao ni nyumba nzur, wengine usafiri ulioenda shule na mengine mengi. Najua hapa jamvini hariharibiki neno tafadhali hebu tujadili hili kwa mtazamo wako nini hasa thamani ya mwanamke.
 
Thamani ya Mwanamke yeyote yule ni utu wake, na jinsi anavyojitambua na kuepuka kuwa tegemezi.
 
Thamani ya Mwanamke yeyote yule ni utu wake, na jinsi anavyojitambua na kuepuka kuwa tegemezi.
Nami ndivyo nijuavyo lkn nachanganywa na wengine wanaposema nimeenda kulala kwa flani nikapewa 5000 au kiasi flani cha pesa . Na bado mtu anasema ni kiasi kidogo. Sasa je thamani ya huyu mwanamke ni sh ngapi hasa.
 
ki uhalisia huwezi compare thamani ya binadamu yeyote yule awe mwanamke au mwanamume na thamani ya pesa au kitu chochote kile. Ukiona mtu anafanya comparison ya thamani ya mwanamke na pesa ujue ni mtu asiyejua atendalo na pia hajitambui kwa kile anachokifanya,nikisema hajitambui namaanisha yeye mwenyewe hajui thamani yake.
 
Inasaidia nini kuwa na materials zote hizo na kila unapopita watu wanakuangalia kama takataka?
unatoka na yeyote, unalipwa unavyotaka wewe..... ndo unasema upo juu.....
bora nipande daladala nikikatisha mtaani watu wanasema "huyu ndo mwanamke"
 
Upo sawa, sasa tuseme jamii imepotea au nini hiki. Naiona jamii taratibu ikiingia chaka silo sijui mimi sioni vizuri au ndio ukijijini bado unanisumbua.
 
Tukisema thamani ya mwanamke ni gari na, ama nyumba, je tutakuwa tuna maanisha thamani ya mwanaume ni kumchanulia chanuu... chanuu ... chanuaaa chaaaa....? Lol, huu ni ufisadi wa mapenzi na si kingine!
 
Binadamu yeyote hana thamani (monetary value) awe mwanamke au mwanaume.

Mwanamke anayejiwekea thamani kwamba mimi ni wa sh 2000 au 1000 huyo hana tofauti na 'commodity' yoyote sokoni kama vile nyanya au vitunguu. mia
 
mwanamke anijali, kunifariji, kunipa chachu ya maendeleo na asiwe taulo la hoteli
 
Thamanj ya binadamu bila kuangalia jinsia haipimwi kwa material things kama pesa
 
Thamani ya mwanamke ni chupi yake. Siku anapomvulia mtu au akavuliwa na mtu ndipo ilipoishia thamani yake!

Chunga kufuli yako.
 
Thamani ya mwanamke ni chupi yake. Siku anapomvulia mtu au akavuliwa na mtu ndipo ilipoishia thamani yake!

Chunga kufuli yako.
hahahahah nimekupat mkuu
 
Mie binafsi najua thamani ya mwanamke kwanza ajitambue kuwa ni mwanamke na ana jukumu kubwa kwa ile nafasi aliyopewa kama mama, asijidharau kuwa yeye ni mwanamke na hawezi kufanya maendeleo, ajiheshimu kwa kutambua thamani yake kama mwanamke, audhamin mwili wake (kuna upana kidogo katika hili la kudhamini mwili wako na ukishindwa hapa unakuwa jalala), asiwe tegemezi kwa kila kitu.
 
Tukisema thamani ya mwanamke ni gari na, ama nyumba, je tutakuwa tuna maanisha thamani ya mwanaume ni kumchanulia chanuu... chanuu ... chanuaaa chaaaa....? Lol, huu ni ufisadi wa mapenzi na si kingine!
Si ndivyo jamii inavyopenda siku hizi mara mali , mara sijui haiwezekani kusubiri mpaka ndoa nitauziwaje mbuzi mgunia hii imekaaje jamani
 
mwanamke anijali, kunifariji, kunipa chachu ya maendeleo na asiwe taulo la hoteli[/QUOTEAtaachaje kua taulo la hoteli kama jamii yetu inakwenda na huu mwendo wa kutosubiri mpaka ndoa
 
Well said mkuu nimekupata ni kwamba lazima ajithamini na sio kujipa bei kua yeye anakwenda kwa kiasi flani cha pesa kwani hakuna pesa inayoweza kulinganishwa na thamani yake hata angemilikishwa dunia bado haifikii thamani yake. Na kumpata anayejitambua lazima utoke jasho kidogo maana ni mali adimu.
 
Life so priceless,my gyal is so priceless,my familia is so priceless whether you ridin or we pass flyin by sayin f**u,its young money cash möney playbway.
 
Nami ndivyo nijuavyo lkn nachanganywa na wengine wanaposema nimeenda kulala kwa flani nikapewa 5000 au kiasi flani cha pesa . Na bado mtu anasema ni kiasi kidogo. Sasa je thamani ya huyu mwanamke ni sh ngapi hasa.

wowen are so priceless nikka you understandin me!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…