Mwanamke soma hapa utakosa mume

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,278
Mademu wengine wana lawama wakisikia Boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsuta"umekosa nini mwanaume huridhiki, utamaliza nyama bucha Ileile, kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka, kwani haikutoshi hii?"anatokwa povu wakati in reality hakuna anachofanya, anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka kazi yote ufanye wewe.

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, nafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau
mlango wa banda khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa polee halafu unapewa juisi ya embe huku
unakunwakunwa ulale.

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "SOGEAHUKO TULALE UNANIBANA"asipochepuka labda ni mhashamu mimi simooo
 
moja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa polee halafu unapewa juisi ya embe huku unakunwakunwa ulale.

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "SOGEAHUKO TULALE UNANIBANA"asipochepuka labda ni mhashamu mimi simooo
Teh! Unapenda raha weye.
 
Mademu wengine wana lawama wakisikia Boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsuta"umekosa nini mwanaume huridhiki, utamaliza nyama bucha Ileile, kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka, kwani haikutoshi hii?"anatokwa povu wakati in reality hakuna anachofanya, anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka kazi yote ufanye wewe.

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, nafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau
mlango wa banda khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa polee halafu unapewa juisi ya embe huku
unakunwakunwa ulale.

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "SOGEAHUKO TULALE UNANIBANA"asipochepuka labda ni mhashamu mimi simooo
Wnasema mafanikio ya mwanaume yanaanzia home, kama mke katulia hampi stress mume basi akitoka kazin fasta anawahi home kumwona mkewe amtulize!! Ndo ukute mwanamke anatoa maneno elfu kwa dakika si balaa hili!!! Alafu bed yuko ka gogo!!
 
Wanasema ukiwa muongo basi jitahidi uwe na kumbukumbu.
Na mimi basi nasema ukiwa wa copy and paste jitahidi kuwa na kumbu kumbu tena sana.
 
Wanaume mnajiona Mungu,kila mtu ajiridhishe yeye kama yeye,hata mngefanywaje hamridhikagi nyie na nyuchi moja
 
Wanaume wengine ni malaya wa asili tu, Hata akipewa papuchi na kikopo choo, lazma achepuke... Nafsi yake haina raha mpaka awe na wanawake wengi, madai anabadili ladha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom