Mwanamke sio tu kwaajili ya kufanya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke sio tu kwaajili ya kufanya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annael, Oct 17, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 10,496
  Likes Received: 6,484
  Trophy Points: 280
  Nawasalimia kwampigo wana JF.
  Kuna matatizo mengi yamekuwa yakitokea katika uhusiano kati ya mme na mke.
  Hii labda vijana wengi wa kiume wanakuwa hawajafundwa na kufundishwa jinsi ya kuishi na mwanamke.
  Hapa hebu ngoja niwape baadhi ya nondo nilizopewa na babu yangu wakati wa kufundwa jinsi ya kuishi vizuri na mwanamke bila ugomvi.

  Ndugu wana JF, kwanza kabisa unatakiwa utabue kuwa mwanamke sio kwaajiri ya mapenzi tu au kwaajiri ya kumpatia pesa tu. la la la la, kuna mambo mengine.

  Kitu kikubwa kabisa mwanamke anataka kutoka kwa mwanaume ni kujihisi kuwa kuna mtu anamjari na anamlinda (care and protection)
  1. Mwnamke anapenda kuona anasikilizwa na mwenzi wake.
  2. Mwanamke anapenda kuona analindwa na mwenzi wake. Hili la kumlinda mwanamke ni pana kidogo. kwa mfano inatokea mwanamke wako amefanya kosa hadharani sio umdhalilishe ni heri umlinda mbele za watu na utamkosoa mkiwa wawili.
  3. Kumpatia pesa mwanamke sio kigezo cha kwamba ninampa kila kitu. Wanawake wako kisaikolojia zaidi. Ongea na akili yake mara zote.
  4. Mwanamke hapendi mwanamme mpoleeeeee. Kidogo mwanaume uwe mkorofi kiasi fulani.
  5. Wanaume wengi wako after mapenzi , wanajitapa wanajua mapenzi ya kitandani. kwa mwanamke sio hivyo tu ni zaidi ya hapo. Mapenzi sawa lakini baada ya hapo mambo makuu ni care and protection
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,581
  Likes Received: 593
  Trophy Points: 280
  Namba 4 naanza rasmi leo kufanyia mazoezi, kwanza nitaenda kupiga safari zangu kama kawa zikikolea naludi home nikifunguliwa get na housegal kesi mpaka asubuhi.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  umepatiapatia lakini
  ila no 3 nayo muhimu
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Asante Annael, Ila naomba niseme kwa mawazo yangu hapo naona umezungumzia mwanamke mwenye Mapenzi ya dhati. Katika ulimwengu wa sasa wa mapenzi usanii ni mwingi hivyo kwa kweli inatakiwa kuwa makini na mwanamke/mwanaume utokae... Katika mahusiano yenu kabla hujajibwaga kabisa msome mwenzio kwanza kujua kama yupo kwako kwa misingi ya material things zaidi ama wewe kama 'WEWE'

  Nasema hivyo sababu ukikuta mwanamke ama mwanaume asie na adabu ukafanya inavyostahili anaweza kukuburuta vibaya mno. Hata hivyo haya mambo huchangiwa pia ni mtu wa aina gani ambae kakuvutia na kumtongoza, sasa hivi mara nyingi kabla ya kumtongoza mtu ukiunganisha na mazingira mliokutana inakuwa rahisi walau kidogo kujua huyu mtu ni msanii tu kama wewe ama ni zaidi ya hapo, kuwa afaa kuwa plus one wako katika yoote yanayokugusa.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  AshaDii nakubaliana na wewe na asante sana kwa ufafanuzi wako na karibu sana maana tulikukosa sana
  nakubaliana na wewe na Annael kwamba mwanamke sio kwa ajili ya mapenzi ni ni zaid ya hapo kulindwa na apate mtu kwa kumjali na na kumuonyesha mapenzi ya kweli
  Ila hayo inategemea kama hakuna usanii ndani yenu na mnapendana kweli maana unaweza fanya hayo yote na bado ukaonekana hamnazo kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,758
  Likes Received: 1,483
  Trophy Points: 280
  naunga mkono HOJA!:A S-coffee:
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Asante kwa acknowledgment R' na ukaribisho... Mie nasema saa ingine sisi wenyewe huwa tunajengea mazingira ya kufanyiwa 'usanii' na hali hatupendi. Wake kwa waume wote we are so fake... inatu cost.
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Namba 3 naanza kuwa bahiri
   
 9. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  naunga hoja pia,ila naomba ufafanuzi kuhusu namba 4.je kuna effect gani mwanaume akiwa mpole?maana wengine naturally ni wapole,na hawawezi kubadilika wawe wakali na wakorofi bila sababu...nawakilisha
   
 10. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  unaongelea wanawake wa kwenye TV series. nimependa optimism yako, endelea hivyo waweza kupata mwanaume atakayefanyia hivyo
   
 11. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Care and Proctetionale.
   
 12. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 10,496
  Likes Received: 6,484
  Trophy Points: 280
  Kaka sio kwamba usiwe mpole ila ule upoleee uanozidi. Mwanamke huwa anajisikia vizuri akiwa na mwanaume kiasi fulani kali. Hayo mambo ya kuzaliwa mpole si kweli. Mambo haya huwa ni yakujifunza. Sometime unaonyesha msimamo.
  Mwanasaikolojia mmoja alisema ukikirudia kitu siku 7 mfululizo inakuwa tabia yako.
  Na watu kuwa wapole sanaaaa some time inatokana na mazingira walio lelewa.

  Madhara ya kuwa mpole kupindukia mwanamke anakuona mjinga anakudharau hatimae ndani kunakuwa hakukaliki ugonvi kila kukicha. Unajua upole sana maana halisi ni ujinga. Kwa hiyo ile mantiki ya protection inakuwa haipo.
   
 13. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  sawa,nimekuelewa,itabidi nianze kupractice ukali.....my fingers talk than my mouth,,,nianze na kupiga chuma,maana wengine na vimwili vyetu,ukibananishwa na vibaka na uko na wife,first option ni kukimbia..
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na mengi, tena napigilia mstari kwenye no 2, hakuna kitu kizuri kama mpenzi wako kuside by you no matter what; lakini pia nataka kuzungumzia no 4, sijui una maana gani ukisema mpoleee, au unaposema mkorofi. Maana mimi napenda mwanaume mpole na mtundu (anayenifanya nicheke) lakini sipendi mwanaume mkorofi. Yaani nakuwa easily put off na ukorofi wa kijinga, ambao naweza sema lengo lake ni kuprove sijui kwa nani (mostly probably kwake mwenyewe) kuwa he is a man.
   
 15. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja za wachangiaji wote waliotangulia, zaidi ya yote kila mtu inatakiwa amjali mwenzake.
   
 16. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahaha hii kali
   
 17. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Tutapanda tutashuka mwisho wa siku lazima mama watoto apatiwe haki ya ndoa!!hizo zingine mbwembwe tu
   
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ukisha fafanua hapo juu, nipigie sim nije nichangie.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Dah, aiseee
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  U can as well wait mpaka Yesu atakaporudi mara ya pili ndipo utakapata majibu hayo! LOL

  By the way being Mwali lazima utakuwa umefundwa weye, eeh tufundishe nasi 'mwanaume ni kwa ajili ya nini'?
   
Loading...