Mwanamke sio mtu wa kubembelezwa

Nimejifunza kitu ndugu zangu,

Mwanamke sio mtu wa kumbembeleza kabisa, Zamani nilikuwa mtu ambaye nilikuwa na maisha ya furaha si kujua kubembeleza mwanamke nilikuwa na tongoza saana na Nili kuwa na kimbiwa na wanawake saana.

Na wote sababu yao ili kuwa moja tu eti mimi ni mkali Maana si kujua yale mapenzi ya kwenye video kabisa eti ukizinguwa ni kudekeze kwa maneno Kama mtoto mdogo ili kesho yake husikosehe Tena. Marafiki walinishauri eti una kosea mwanamke anatakiwa ufanye ivi ili akupende saana.

Ndugu zangu nilijaribu njia zao. Nika penda kadada kamoja ivi kalitaka kunitowa roho jinsi ninavyo jibembeleza kwake naye ndo kanazidi kupanda chat. Kalikuwa Kanasumbuwa akili yangu mpaka basi. Nimeshindwa nimekatukana Leo ivi na tumeachana. Ndugu zangu ninyi munawezaje kabisa kujibembeleza kwa mwanamke.
Itakuwa huna nguvu za kiume.Ukiwa una nguvu za kiume huna haja ya kumbembeleza mwanamke.
 
Mwanaume utafute hela kwaa shida.
Uumie, jasho damu zikutoke.

Alaf ukipata hizo hela uende kwa mwanamke umbembeleze na mle nae.

Kha! Mwanamke amuheshimu sana Mwanaume na mwanaume ampende na kumjali mwanamke.

Mm hiyo kubembeleza naona ni tasfiri nyingine kwangu.

Tunaahitaj kuheshimiwa sana.
 
Back
Top Bottom