sio unene tu? Yaani linakuwa lijanja janja la mjini lipstick full time na wanja na mahereni,linajua kila kitu full starehe ,mabuzi ya kufa mtu yaaani usipime kwa lishangingi
yep wanavaa magold makubwa makubwa ila ni ya ukweli.
umekula vitu vyake kibao ukiwa na shida ya elfu 50 anakutumia 5000000 ila kumbe una mtu tena u mjamzito unamchunia roho inamuuma hali wala halali kwa ajili yako.na ulimuahidi mtafunga ndoa
Kweli Cheusi, mnyonge tumnyonge na haki yake apewe....
Sifa kuu ya mashangingi ni kutokufake kwenye mapambo yao....
Hata kama atakuwa anauza vitumbua lol.....
Pande za huku kwetu kuna bi mama huyo ye ni Mc tu wa "kitchen party"..
Ila anauwezo wa kushindana na mashostito wa BOT kwenye kujipamba
dah! moyo umetulia......................
ni kama unasema 'mwanamke anaejua kujipamba ndo shangingi'
is it??
Kweli Cheusi, mnyonge tumnyonge na haki yake apewe....
Sifa kuu ya mashangingi ni kutokufake kwenye mapambo yao....
Hata kama atakuwa anauza vitumbua lol.....
Pande za huku kwetu kuna bi mama huyo ye ni Mc tu wa "kitchen party"..
Ila anauwezo wa kushindana na mashostito wa BOT kwenye kujipamba
sijui nikisema mashangingi wengi wako uswazi nakosea?ila naamini mashangingi ya ukweli yako uswazi kama magomeni kinondoni n alike,achilia kujipamba kwa vitu vya gharama,utakuta hata nyumbani kwake ana vitu vya uhakika.
Sio Radhia sweety?Mi huwa naona watu huwa wanarefer mwanamke mwenye umbo kubwa,linalopenda starehe na kujiremba kwa saaana
ila mashangingi mengi kama yanajishughulisha basi ni biashara nyingi dizaidi ya kwenda dubai china za kukopesha kupesha hivi ila wengi wao wanaishi kwa kutegemea wanaume.
sijui nikisema mashangingi wengi wako uswazi nakosea?ila naamini mashangingi ya ukweli yako uswazi kama magomeni kinondoni n alike,achilia kujipamba kwa vitu vya gharama,utakuta hata nyumbani kwake ana vitu vya uhakika.
Hapana, sifa "mama" ya shangingi ni umalaya uliokubuu na matukio yote ya uasherati uliopitiliza..
Sasa kunakuwaga na vijitabia vingine vya kusindikiza tu ndio kama hivyo kujipamba bila kujinyima...
hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingi
kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????[/QUOTE}
asingekua mchungaji angegeuka bonge la jishangingi
ni kweli kuna wake za watu ,mashangingi kweli yani mpaka unamsikia baba anamwambia mama nisikuone unaongozana na mke wa fulani au sitaki hata awe rafiki yakowapo wake za watu mashangingi wengi tu Smile,hasa kwenye haya majiji kama Arusha,Dar na Mwanza...wengine huanza wakiwa wake za watu tayari,na kama ndoa ndo zile za kikristo,au yeye ndo mleta chakula mezani,mlipa ada,mwenye pango ni wanaume wachache wenye guts za kuwaacha...ukizingatia siku hizi wanaume wanaolelewa ni wengi,ndoa za mashangingi zitadumu na kuongezeka.
hili naona sio shangingi bali ni ngingi ujue iko tofauti ya shangingi na ngingi
kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????[/QUOTE}
asingekua mchungaji angegeuka bonge la jishangingi
Huyu mama nae shangingi aliye kubuhu