CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingi
kwani waliolewa wote wako sawawapo unakuta kaolewa,ana pesa na kazi nzuri
but still unasikia ahh yule fulani ni bonge la shangingi.....lol
ohoo usimtaje mtu bwana lohshangingi aolewe? Yeye ni mabuzi tu. Kina khadija kopa hao
ndo maana nikakuambia ni haohao sema shangingi yupo more advanced.yaani maudhui yake hayachomi kiviiiilekwa kawaida ukimuita mwanamke m.a.l.a.y.a...anakasirika na ni ugomvi
lakini kuna wanawake ukisema 'we ni bonge la shangingi hawakasiriki....mostly inahusu umbo...
usitaje bwana itakuwa ngumu kusema. Refer characteristics of shangingi.kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji rwakatare ni shangingi????????
wapo unakuta kaolewa,ana pesa na kazi nzuri
but still unasikia ahh yule fulani ni bonge la shangingi.....lol
naomba kuongeza hapa, magold yenyewe utakuta makubwa makubwa, na mengi yanakuwa sio real gold, wengi wanakuwa starehe kwa sanaa, kazi hapana.
we unamuonaje yule, nae humohumo tukuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????
ni kweli kabisa.yaani kuna hapa anaplay part chache za ushangingi kwa sababu ya ndoamashangingi hayajaolewa,na wala ushangingi sio sifa nzuri,shangingi ni yale mamama/madada linakwenda bar huko huko linapata buzi halirudi home,yaani kwa kifupi ni mamalaya,hayaoni aibu kuongea matusi,ila kuna wanawake wengine wameolewa lakini wana behave kishangingi.kuwa na pesa ni kweli,ila mashangingi mengi kama yanajishughulisha basi ni biashara nyingi dizaidi ya kwenda dubai china za kukopesha kupesha hivi ila wengi wao wanaishi kwa kutegemea wanaume.
hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingi
ndo maana nikakuambia ni haohao sema shangingi yupo more advanced.yaani maudhui yake hayachomi kiviiiile
unatafutwa dada? Umekula vya watu humu kuna rb yako kimbia
kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????
umekula vitu vyake kibao ukiwa na shida ya elfu 50 anakutumia 5000000 ila kumbe una mtu tena u mjamzito unamchunia roho inamuuma hali wala halali kwa ajili yako.na ulimuahidi mtafunga ndoanimeona kichwa cha habari,ila nimechelewa kusoma kilichomo ndani,sijapata wakuniambia ananitafutia nini,sikimbii nitapambana kikike hadi mwisho lol.