Mwanamke serios anaitajika

Mwanamke serios anaitajika

Kendk

Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
17
Reaction score
17
Naitwa jack umri wang miaka 32 natafuta mwanamke tuwe na mahusiano badae ndoa umri kuanzia miaka 26 mpaka 35 awe ameajiriwa.kwa aliye tayari karibu pm
 
Kwa hiyo sisi tuliojiajiri haturuhusiwi kabisa pm kwako?
 
Huwa nashangaa saana hapa jukwaani kigezo kikuu Cha uchumba ni Ajira au financial stability.

Ni Kama watu hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom