Kegel hata kwa wanaume ina faida kubwa.
Ambaye hajui na anataka kujua a google ataletewa mpaka video elekezi.
ha ha.ha, wewe ni special in a crazy way.
Mkutanoni? Siku moja usije kam hazarani, hilo zoezi ni hatare.
Kegel's exercise ndio mwisho wa mchezo.
Kegel's exercise ndio mwisho wa mchezo.
Mwenye maskio askie, anaeona atatapiaka apotezeee ila mtoa mada kataka kushare ma ujanja