Mwanamke pekee duniani

Mwanamke pekee duniani

Haombi hela yoyote kwasababu ni independent anajua kutafuta hela.
Hana mashosti ana marafiki wanaojitambua kama yeye.
Hana maneno wala kelele bali anajua kuongea kitu sahihi kwa wakati sahihi.
Huwezi kumuingiza mwanamke ndani kwasababu hakupi sababu ya kufanya hivyo.
Hahitaji kulipiwa mahari kwasababu she is priceless.
Ukimpeleka nyumbani ni kweli kuna amani kwasababu hata yule dada mwenye mdomo mrefu atafunga mdomo wake.
Hata usipomvalisha pete hasemi kitu kwasababu pete is just another piece of metal.(Pete imewahi kuzuia watu kufanya maovu au kuahirisha/kuvunja ndoa? Haijawahi.)
Hakusumbuai anataka ndoa wewe mwanaume ndio utahahngaika ili umoe asije kuolewa na wengine.
Huwezi kumfanyia uonevu wowote kwasababu hakupi sababu wala nafasi ya kufanya hivyo
Huyo mwanamke ni mwanamke kama wewe sema anajitambua.
Duuu..
 
Back
Top Bottom