Mwanamke pekee duniani

Mwanamke pekee duniani

Ghhaaaii nimesoma kwa makini saana huku nitazama hiyo avatar yako nikiwa naimba nitampa wape kama yule mwenye tabasam .....Q chila
Mwisho ndio umekuja kuaribu ila anyway!!
[emoji16][emoji16] unapenda vya mtelezo eeh?
 
Hata awe kaangushwa juu kama mana.. Ni jukumu lako kumtunza.
Hata maandiko yanasema waume wapendeni wake zenu kama mnavyojipenda wenyewe
MUNGU Ni mwema mkuu... mke mwema hutoka kwa MUNGU.
 
Hata awe kaangushwa juu kama mana.. Ni jukumu lako kumtunza.
Hata maandiko yanasema waume wapendeni wake zenu kama mnavyojipenda wenyewe
Kabisa mkuu yani mwanaume na mwanamke atimize majukumu yake kama inavyohitajika.
 
Angekua mwanaume analalamika hivi, yani ni aibu sana mwanaume mzima na kende zake anakalisha tako na unaandika uzi kizuzu hivi,mwanaume kukwepa majukumu yako ni ujuha,hata mahari unataka ulipiwe wewe ni mzigo usiobebeka wala kuuzika
 
Ndo hivo.. Eti mtu kwenye uchumba kila siky analalamika ooh mara kaniomba elfu kumi mara kanipiga mzinga... Ndoa ataiweza?
Simaanishi kwamba wanawake ukioa wanatakiwa kuwa dependant kwa asilimia mia.. Bali kymtynza haiepukiki hata kama ana kazi yake na kipato chake... Ni jukumu lako akikwama
Kabisa mkuu yani mwanaume na mwanamke atimize majukumu yake kama inavyohitajika.
 
Waambie wenzio wanatia aibu.
Angekua mwanaume analalamika hivi, yani ni aibu sana mwanaume mzima na kende zake anakalisha tako na unaandika uzi kizuzu hivi,mwanaume kukwepa majukumu yako ni ujuha,hata mahari unataka ulipiwe wewe ni mzigo usiobebeka wala kuuzika
 
Hivi ukilipiwa mahari na mwanamke hata ndani unaweza kuwa na kauli kweli kama kidume
 
Sijui kama wanaume wa hivi wapo anaetaka hata mahari asaidiwe
Wapo.. Wengi sana hasa vijana wa kizazi hiki.
Anapachika mimba thn kwisha
Anajuweka ndani
Katoe mahari anakwambia subiei mwakani
Unashangaa miaka kumi inafika
 
Back
Top Bottom