Mwanamke pekee duniani

Mwanamke pekee duniani

Haombi hela kwenda kusuka saluni sababu hasuki
Haombi hela ya losheni au cream sababu hapaki mafuta
Haombi hela ya makeup wala wanja haitaji kupaka
Hatokuomba hela ya shopping
Hatokuomba nauli au umtoe out sababu haendi kokote labda we uamue kumpeleka basi
Hakuombi hela ya break,lunch wala dinner
Hana mashosti so hatokupa stress

Hana maneno wala kelele.atakua anasikiliza kile unachpongea wewe tu

Hata siku ukiingiza mwanamke ndani ye hatofanya wala kusema chochote wala haondoki..halii hafoki
zaidi unaweza mfanya wee usiku kucha wala halalami.

Haihataji kulipiwa mahari labda gharama za kumtoa tu kule aliko umlete huku
Hata ukimpeleka kwenu kutakua na amani.. Mawifi wakimsema ye wala hajibu mtoto wa watu yupo kimya harespond so hutoskia michambano kabisaa
Hata umvalishe pete ya kuokota he wala hasemi mtoto wa watu hana msimamo
Hakusumbui kabisa kua anataka ndoa
Unaweza mfanyia kila uonevu we mpige hata usiku kucha.. Halii wala harudishi kofi


Huyu mwanamke ni zile sex dolls zile zilizobuniwa na wazungu. Sio binadamu mwenzio mwenye nyama na roho.
Hao ndo wake sasa.
Mbona wapo especially wale waliolelewa kijijini kwani wana maadili mema.
 
Mtu mko kwenye uchumba tu analalamika mara mizinga akiioa anaujua mziki wake? Anunue tu mdoli
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwanamke ni mdoli kweli.
Wanaume ifike mahali wajue wajibu wao. Uanaume sio kibesi tu, kumtunza mkeo muhimu.
 
Haombi hela kwenda kusuka saluni sababu hasuki
Haombi hela ya losheni au cream sababu hapaki mafuta
Haombi hela ya makeup wala wanja haitaji kupaka
Hatokuomba hela ya shopping
Hatokuomba nauli au umtoe out sababu haendi kokote labda we uamue kumpeleka basi
Hakuombi hela ya break,lunch wala dinner
Hana mashosti so hatokupa stress

Hana maneno wala kelele.atakua anasikiliza kile unachpongea wewe tu

Hata siku ukiingiza mwanamke ndani ye hatofanya wala kusema chochote wala haondoki..halii hafoki
zaidi unaweza mfanya wee usiku kucha wala halalami.

Haihataji kulipiwa mahari labda gharama za kumtoa tu kule aliko umlete huku
Hata ukimpeleka kwenu kutakua na amani.. Mawifi wakimsema ye wala hajibu mtoto wa watu yupo kimya harespond so hutoskia michambano kabisaa
Hata umvalishe pete ya kuokota he wala hasemi mtoto wa watu hana msimamo
Hakusumbui kabisa kua anataka ndoa
Unaweza mfanyia kila uonevu we mpige hata usiku kucha.. Halii wala harudishi kofi


Huyu mwanamke ni zile sex dolls zile zilizobuniwa na wazungu. Sio binadamu mwenzio mwenye nyama na roho.
ahaa
Hapo sawa
 
Kwanza nimekuja speed
Ghhaaaii nimesoma kwa makini saana huku nitazama hiyo avatar yako nikiwa naimba nitampa wape kama yule mwenye tabasam .....Q chila
Mwisho ndio umekuja kuaribu ila anyway!!
 
Back
Top Bottom