Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

Kusema ukweli kiuno changu siku hizi kigumuuuuu
 
Hahahahaha hahhahhah najikazaje,nielekeze kassie sie kwetu zanzibar kujikaza maana nijile mwenyewe asa ntawezaje?

Hhhahahahahahaa ngoja nimuite Swahiba wangu wa Zanzibar anisaidie kukuelewesha kizanzibari. maana mie wa bara nna shida kweli kweli, kiingereza sijui chote, kiswahili sijui chote na kimatumbi pia sijui. Najua Mahaba tuu looh!!!
 
Kusema ukweli kiuno changu siku hizi kigumuuuuu

Usikiachie banaa, kishughulishe na nyimbo mbalimbali au mazoezi ya aerobics Zumba.
 
Usikiachie banaa, kishughulishe na nyimbo mbalimbali au mazoezi ya aerobics Zumba.
Dah uzee huu nauendekeza kwa kweli. Kiuno hakizunguki nikiachika sitashangaa
 
Dah uzee huu nauendekeza kwa kweli. Kiuno hakizunguki nikiachika sitashangaa

Hhahaahahahhaaa pambana mamaaa, japo wanasema msingi kiuno hiyo sio kweli. Kiuno ni kionjo ndani ya burudani...

Mwanamke nyongaaa.
 
Hhahaahahahhaaa pambana mamaaa, japo wanasema msingi kiuno hiyo sio kweli. Kiuno ni kionjo ndani ya burudani...

Mwanamke nyongaaa.
Ngoja nipambane. Najiwekea mziki nakatika mwenyewe chumbani
 
Ngoja nipambane. Najiwekea mziki nakatika mwenyewe chumbani

Safiii, ili ukiwa unaucheza mziki unajiachia tuu watu ndo wanaona u fundi kiasi gani wee akaaa huna habari kumbe huko watu wako hooiii hehehehehehee

Ila Mungu alipomuumba mwanamke..... sijui aliwaza nini, ila alifanya kitu kizuri sana. Nafurahi kuzaliwa mwanamke.
 
Ha haaaa chizi kweli we Kasie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…