msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
habari zenyu wajameni, kwa wale ambao hawajaoa jamani kabla ya kuoa lazma ujue mwanamke ni pambo ndani ya nyumba,ni zaidi ya kukupa penzi usiku ukiwa umezima taa kwenye giza totoro.
Nakumbuka kabla sijaoa mjomba alinieleza uncle mke ni zaidi ya pambo ndani na heri ukosee kujenga nyumba lakini sio kukosea kuoa,ukisha uvagaa ujue imekula kwako. mke anaakisi aina ya familia utakayokuwa nayo milele jamani,ukioa mke asiyeeleweka ujue hata watoto wako hawataeleweka vile vile,lazma mtafakari kabla ya kuoa usioe kwa shinikizo wanaume tuna wide chance ya selection tofauti na wanawake so kwanini ukurupuke kuoa, usione njemba zinashinda baa kuanzia asubuhi mpaka usiku mnene wengine wanakwepa nyumba zao kwamba muda watakaorudi basi wawe wamelala,
NARUDIA TENA WANAUME WENZANGU AMBAO HAMJAOA,UKIKOSEA UJUE MZIGO HUO UTAUBEBA MPAKA SIKU UNAINGIA KABURINI. Alamsiki