Mwanamke ni nani?

Usilazimishe muujiza ambao umetendeka kwako ufanane na miujiza ambao wenzio haijawatokea kupitia njia hiyo hiyo.

Kuna mtoto mdogo wa miaka mi5 alimuokoa Baba yake kwa kifo kilichokuwa kimepangwa na Mama yake sababu ya kutaka kurithi mali.

"ACHA KUKARIRI KUWA KILA KING'AACHO NI DHAHABU"
Na kukuokoa akiamua... Mimi ameniokoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa, Mimi na wewe aliyekariri ni Nani? Mbona Kama unatoka povu unnecessarily? Nini mbaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…