Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 839
Utukufu gani.....hebu acha upumbavu wa kupindua mambo.....Mume ndio utukufu wa mke,na kristo ni utukufu wa Mume,na Mungu ni utukufu wa kristo....!!!! Yaani umepewa mbususu mpaka unaisahau nafasi yako...???ni kazi kubwa kumwelewesha alieamua kutokusikilzani kiumbe kilichojaa utukufu,tuwaheshimu,tuwapende na kuwalea kwa uwezo wetu wote.mwanaume anayemdharau,kumtesa,kumdhalilisha na kumpiga mwanamke,hadhi yako ni ndogo sana