kaka kama unaelewa maana ya parable basi huna sababu ya kuhisi kuwa sina heshima kwa wanawake. kinyume na hapo nisamehe bure na mods ikiwezekana wafute uzi na hata ban nipigwe kama nastahili. siku njemaMkuu kuwa na heshima kwa wanawake...nani ambaye hajaletwa na mwanamke hapa duniani? kwa nin uwafananishe na box la karata? Mama yako ni box la karata? stupid mind...
mwanamke ni kama bunda jipya la karata. pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia. zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi cha kupenda kuzichezea muda wote bila kuchoka. bunda la karata ili lidumu kwa muda mrefu katika ubora wake wa awali lazima liwe na wachezaji kwanza wachache na maalum ambao kwa kuzipenda wapo tayari kuzichezea kwa ustaarabu ili zisiharibike wala kupoteza mvuto. tatizo linakuja pale bunda la karata linapoanza kuchezewa na watu wengi muda si mrefu bunda linachakaa na kuvumbia kiasi cha kushindwa hata kuingia kwenye box lake lenyewe zilimotoka, zinapoteza mvuto kuzichezea tena, kadiri ya siku wachezaji wanapungua mwisho wa siku zinaishiwa kutupwa au kuwashia moto maana hazina thamani tena watu wanatafuta bunda jipya la karata na maisha yanaendelea. happy boxing day karibuni tucheze last card hapa.
Uchambuz wako noma sana.mwanamke ni kama bunda jipya la karata. pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia. zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi cha kupenda kuzichezea muda wote bila kuchoka. bunda la karata ili lidumu kwa muda mrefu katika ubora wake wa awali lazima liwe na wachezaji kwanza wachache na maalum ambao kwa kuzipenda wapo tayari kuzichezea kwa ustaarabu ili zisiharibike wala kupoteza mvuto. tatizo linakuja pale bunda la karata linapoanza kuchezewa na watu wengi muda si mrefu bunda linachakaa na kuvumbia kiasi cha kushindwa hata kuingia kwenye box lake lenyewe zilimotoka, zinapoteza mvuto kuzichezea tena, kadiri ya siku wachezaji wanapungua mwisho wa siku zinaishiwa kutupwa au kuwashia moto maana hazina thamani tena watu wanatafuta bunda jipya la karata na maisha yanaendelea. happy boxing day karibuni tucheze last card hapa.
Mkuu kuwa na heshima kwa wanawake...nani ambaye hajaletwa na mwanamke hapa duniani? kwa nin uwafananishe na box la karata? Mama yako ni box la karata? stupid mind...
Sasa hapo chanzo cha kuharibu ilo bunda la karata ni nani.
Sababu nyie ndio mmejaa ulaghai na sio waoaji ukiwa na huyu leo kesho unatafuta mwingine hamuoni nyie ndio chanzo cha kuchakaza hizo karata
Muwe mnatulizana basi na kuridhika na mmoja angalau hizo karata zisichakae.
Leo mwanamke kawa bunda la karata. Lol
Sio kwel nyie wanawake hususani wa karne hii ndo mnashida... MNA tamaa sana .mnapenda mteremko ndo maana mnatumiwa na kuachwa yan mnatanguliza maslahi mbele ..mwisho wa siku mnatumiwa mnaachwaSasa hapo chanzo cha kuharibu ilo bunda la karata ni nani. Sababu nyie ndio mmejaa ulaghai na sio waoaji ukiwa na huyu leo kesho unatafuta mwingine hamuoni kwamba nyie ndio chanzo cha kuchakaza hizo karata
Muwe mnatulizana basi na kuridhika na mmoja angalau hizo karata zisichakae.
Leo mwanamke kawa bunda la karata. Lol