Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 784
Bado hujaenda kwenye point.Mkuu unataka kupindisha mada; mada ni; "MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE", je kauli hiyo inayo heshima kwa wanawake??-- wala hatuzungumzii kuhusu mwanamke kama mke.
Hadithi ya mtume (saw) uliyoileta inazungumzia specifically juu ya starehe za wema wa "mke" kwa mumewe wala haizungumzii juu ya starehe za wanawake kwa ujumla.
Yaani mke akiwa mwema kwa mumewe mume anapata starehe lakini mke akiwa mwovu mume ataishi maisha ya "jehanamu".
Mifano uliyoitoa haihusiani kabisa na kauli yako kwamba "Mwanamke ni chombo cha starehe", ni starehe ipi hiyo aliyonayo mwanamke??, huwezi kupinga maana ya hayo maneno ni; "A woman is a comfort tool" sio maneno mazuri na kamwe huwezi kuyatamka mbele ya kadamnasi labda huwe hujitambui.
umekiona chombo kile kinapita"
Kumbuka katika post yako wala hukuzungumzia juu ya starehe kama wema kwa mwanamke, na ndiyo maana umewataja hadi "vyangu doa", rudia kusoma post yako ya mwanzo tena.
Wema wa mke ni starehe kwa mumewe, sio sawa na mwanamke ni chombo cha starehe.--- hiyo imekaa vibaya mkuu.
TrueKwa askari polisi wanawake ni "PUNCHING BAG (MFUKO WA MAZOEZI)"
Ref: Esther Bulaya & Halima Mdee.
Umekiona chombo kile "(cha starehe)" kinapita? !!
Inatakiwa neno "starehe" usiliache.
Mzizi mzima wa story yako inaashiria kuwa mwanamke ni chombo cha kufanyia ngono na ndiyo maana katika post yako ya msingi iliyobeba kichwa; "mwanamke ni chombo cha starehe" umewajumuisha na machangudoa, sasa nenda kasome hadithi ya mtume (saw) no, 21708 katika Musnad, iliyosimuliwa na Abu Ummah. Ni hadithi inayozungumzia juu ya kijana mmoja aliyemuomba mtume (saw) ampe ruhusa akafanye uzinifu.
Ninaishia hapo.
Hata makahaba wanaingia katika wanawake na wanaingia katika maana ya kuwa chombo cha starehe.
Umemaliza kila kitu mkuu, natamani sana hii comment yako uianzishie uzi ili uwaelimishe na wenzie wenye hiyo dhana kama yeye maana hapa watu wengi hawataiona.Mimi nilidhani kwamba maneno yako; "mwanamke ni chonbo cha starehe" uliyapata kutoka katika hadithi za mtume (saw) kumbe umeyapata kutokana na matendo ya makahaba!!
Na ndiyo maana nilipokuambia nenda kamuambie hayo maneno mkeo au dada yako au shangazi yako na hata mama yako ili wakupe ushauri uliogopa, uliogopa kwa sababu dhamira yako inakusuta kwamba maneno hayo ni machafu.
Kitu ambacho hujui ni hichi; madhumuni ya tendo la ndoa kati ya mume na mke ni kupata watoto ili kuendekeza kizazi kwa msingi huo ndipo Mungu akaweka ladha katika tendo hilo, bila kuweka ladha basi hakuna mtu au mnyama yeyote angalifanya ngono na uzazi usingalikuwepo na dunia ingalifutika kwa kukosa watu na wanyama, sasa utaona kwamba ladha ya tendo la ndoa lipo kotekote kwa mume na mke kwa msingi huo hakuna yeyote atakaye mwita mwenziwe kuwa ni chombo cha starehe ilhali wote hupata hiyo starehe, mfano unaweza kusema gari au ndege ni chombo cha starehe kwasababu gari au ndege yenyewe halipati starehe kwakuwa yenyewe ni chombo tu cha starehe sasa huwezi kumfanisha mwanamke na chombo cha starehe kama gari au ndege nk, huo ni udhalilishaji wa kijinsia, udhalilishaji unaowapa haki wanaume kuwatendea unyama wa kijinsia wanawake kwasababu tu wao ni "vyombo cha starehe" cha wanaume.
Wewe uniambie hayo maneno; mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume umeyatoa kwenye hadithi gani ya mtume (saw), kama maneno hayo hayapo katika hadithi za mtume au Qur'an huo ni uzushi na achana nao.
Wewe shikilia hadithi ile uliyoileta kwamba "Mke mwema ni starehe kwa mumewe"--- hiyo imekaa vizuri sana kuliko; "mwanamke ni chombo cha starehe" --- hii imekaa kishetani cha ngono.
Nenda kamwambie mkeo kabla ya tendo la ndoa; "wewe ni chombo cha starehe",kama anajitambua siku hiyo hakupi labda ulie sana kumbembeleza.
Tatizo ufahamu.Mimi nilidhani kwamba maneno yako; "mwanamke ni chonbo cha starehe" uliyapata kutoka katika hadithi za mtume (saw) kumbe umeyapata kutokana na matendo ya makahaba!!
Na ndiyo maana nilipokuambia nenda kamuambie hayo maneno mkeo au dada yako au shangazi yako na hata mama yako ili wakupe ushauri uliogopa, uliogopa kwa sababu dhamira yako inakusuta kwamba maneno hayo ni machafu.
Kitu ambacho hujui ni hichi; madhumuni ya tendo la ndoa kati ya mume na mke ni kupata watoto ili kuendekeza kizazi kwa msingi huo ndipo Mungu akaweka ladha katika tendo hilo, bila kuweka ladha basi hakuna mtu au mnyama yeyote angalifanya ngono na uzazi usingalikuwepo na dunia ingalifutika kwa kukosa watu na wanyama, sasa utaona kwamba ladha ya tendo la ndoa lipo kotekote kwa mume na mke kwa msingi huo hakuna yeyote atakaye mwita mwenziwe kuwa ni chombo cha starehe ilhali wote hupata hiyo starehe, mfano unaweza kusema gari au ndege ni chombo cha starehe kwasababu gari au ndege yenyewe halipati starehe kwakuwa yenyewe ni chombo tu cha starehe sasa huwezi kumfanisha mwanamke na chombo cha starehe kama gari au ndege nk, huo ni udhalilishaji wa kijinsia, udhalilishaji unaowapa haki wanaume kuwatendea unyama wa kijinsia wanawake kwasababu tu wao ni "vyombo cha starehe" cha wanaume.
Wewe uniambie hayo maneno; mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume umeyatoa kwenye hadithi gani ya mtume (saw), kama maneno hayo hayapo katika hadithi za mtume au Qur'an huo ni uzushi na achana nao.
Wewe shikilia hadithi ile uliyoileta kwamba "Mke mwema ni starehe kwa mumewe"--- hiyo imekaa vizuri sana kuliko; "mwanamke ni chombo cha starehe" --- hii imekaa kishetani cha ngono.
Nenda kamwambie mkeo kabla ya tendo la ndoa; "wewe ni chombo cha starehe",kama anajitambua siku hiyo hakupi labda ulie sana kumbembeleza.
Unafikiri kwa nini katika utaratibu wetu hasa wa dini mwanaume ndo anatoa mahari ilhali tendo mnafanya wote ?Umemaliza kila kitu mkuu, natamani sana hii comment yako uianzishie uzi ili uwaelimishe na wenzie wenye hiyo dhana kama yeye maana hapa watu wengi hawataiona.
Acha kunijadili mimi na familia yangu.jadili mada yetu hapa.Mimi nilidhani kwamba maneno yako; "mwanamke ni chonbo cha starehe" uliyapata kutoka katika hadithi za mtume (saw) kumbe umeyapata kutokana na matendo ya makahaba!!
Na ndiyo maana nilipokuambia nenda kamuambie hayo maneno mkeo au dada yako au shangazi yako na hata mama yako ili wakupe ushauri uliogopa, uliogopa kwa sababu dhamira yako inakusuta kwamba maneno hayo ni machafu.
Kitu ambacho hujui ni hichi; madhumuni ya tendo la ndoa kati ya mume na mke ni kupata watoto ili kuendekeza kizazi kwa msingi huo ndipo Mungu akaweka ladha katika tendo hilo, bila kuweka ladha basi hakuna mtu au mnyama yeyote angalifanya ngono na uzazi usingalikuwepo na dunia ingalifutika kwa kukosa watu na wanyama, sasa utaona kwamba ladha ya tendo la ndoa lipo kotekote kwa mume na mke kwa msingi huo hakuna yeyote atakaye mwita mwenziwe kuwa ni chombo cha starehe ilhali wote hupata hiyo starehe, mfano unaweza kusema gari au ndege ni chombo cha starehe kwasababu gari au ndege yenyewe halipati starehe kwakuwa yenyewe ni chombo tu cha starehe sasa huwezi kumfanisha mwanamke na chombo cha starehe kama gari au ndege nk, huo ni udhalilishaji wa kijinsia, udhalilishaji unaowapa haki wanaume kuwatendea unyama wa kijinsia wanawake kwasababu tu wao ni "vyombo cha starehe" cha wanaume.
Wewe uniambie hayo maneno; mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume umeyatoa kwenye hadithi gani ya mtume (saw), kama maneno hayo hayapo katika hadithi za mtume au Qur'an huo ni uzushi na achana nao.
Wewe shikilia hadithi ile uliyoileta kwamba "Mke mwema ni starehe kwa mumewe"--- hiyo imekaa vizuri sana kuliko; "mwanamke ni chombo cha starehe" --- hii imekaa kishetani cha ngono.
Nenda kamwambie mkeo kabla ya tendo la ndoa; "wewe ni chombo cha starehe",kama anajitambua siku hiyo hakupi labda ulie sana kumbembeleza.
Michongo mingine mizito utawezatupeane michongo mzee
Kabisa hata malezi sehemu kubwa ya mkee na mtoto yana mtegemea mwanaume lakini tatizo linalo kuja ni kuwa hata mwanamke anapotaka na yeye awe sehemu ya kuchangia pato la familia hiyo hiyo Napo pana ibuka mgogoro kama kushindana hivi na vile mwisho wa siku ndio hivyoUnafikiri kwa nini katika utaratibu wetu hasa wa dini mwanaume ndo anatoa mahari ilhali tendo mnafanya wote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ufahamu.
Nilikuuliza pale nyuma
Mtu akisema "nimekipata chombo matata " hapa neno chombo anakusudia kumkashifu manamke ama amemsifia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunijadili mimi na familia yangu.jadili mada yetu hapa.
Suala la mke wangu kukataa sio hoja kwa sababu hata nikimuambia nataka kuomgeza mke atakataa pia,kwa hiyo kukataa kwake sio hoja na hakumati.
Ongea vitu vilivyopo,usianze kunijadili mimi jadili mada.
Mtu akisema " amepata chombo cha ukweli anataka kuoa"
Hapo neno chombo linasimama kusifu au kukashifu na kudhalilisha ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini neno starehe linaleta ukakasi ?Shida Sio neno "chombo" tu bali shida ni maneno; " Mwanamke ni chombo cha starehe"--- hayo maneno umeyapata kutoka kwenye fundisho la nani???.
Kauli yako "Nimekipata chombo matata"---- sio sawa na maneno "nimekipata chombo matata cha STAREHE", neno starehe ndio neno linaloleta ukakasi, ni kutokana na kauli hiyo ya starehe ndipo leo picha za wanawake zimekuwa zikianikwa katika mabango ya matangazo zikiwa nusu uchi, pia ni kutokana na dhana ya "mwanamke starehe" ndipo utaona wanawake wakinengua nusu uchi katika bendi za musiki na ngoma za tamaduni kuwaridhisha nyie akina Safuher kwakuwa mmemfanya mwanamke ni chombo cha starehe.
Wapi katika hadithi ya mtume (saw) imesemwa mwanamke ni "chombo cha starehe???".
Kwani kuna sehemu mimi nimesema kuwa mtume kasema mwanamke ni chombo cha starehe ?Shida Sio neno "chombo" tu bali shida ni maneno; " Mwanamke ni chombo cha starehe"--- hayo maneno umeyapata kutoka kwenye fundisho la nani???.
Kauli yako "Nimekipata chombo matata"---- sio sawa na maneno "nimekipata chombo matata cha STAREHE", neno starehe ndio neno linaloleta ukakasi, ni kutokana na kauli hiyo ya starehe ndipo leo picha za wanawake zimekuwa zikianikwa katika mabango ya matangazo zikiwa nusu uchi, pia ni kutokana na dhana ya "mwanamke starehe" ndipo utaona wanawake wakinengua nusu uchi katika bendi za musiki na ngoma za tamaduni kuwaridhisha nyie akina Safuher kwakuwa mmemfanya mwanamke ni chombo cha starehe.
Wapi katika hadithi ya mtume (saw) imesemwa mwanamke ni "chombo cha starehe???".
Tokea zamani nilishakuambia kuwa mama yangu ni chombo cha starehe kwa baba yangu.Hutaki kujadiliwa kuhusu familia yako???--- swali, wewe huna dada, shangazi, mama mdogo, mama mzazi, binti au hata binti za nguguzo nk???, kama unao je hao sio wanawake???, na kama ni wanawake, je wao hawahusiki kuwa vyombo vya starehe??!!--- au wanawake wa starehe ni vyangudoa tu??---- hao vyangudoa sio mama, dada, shangazi, mabinti nk wa watu kama wewe???.
Safuher, unaposema; mwanamke ni chombo cha starehe, hiyo ni kauli mbaya sana ni kumdhalilisha mwanamke katika kiwango cha "kifaa" kama toilet paper unayoweza kuitumia upendavyo kukidhi haja zako za STAREHE.
Nimekuambia maneno; "mwanamke ni chombo cha starehe" ni sawa na maneno ya kizungu; "A woman is a comforting stuff", Chombo cha starehe ni kifaa cha starehe, hayo maneno yako yanatoa taswira ya vitendo vya watu wa magharibi jinsi wanavyo mtendea mwanamke kama chombo cha starehe, angalia jinsi mabondia wnapokutana katika "face off" pembeni kunakuwa na wanawake walio nusu uchi, angslia wale "ring girls" wanaoshika vibao vya kuonyesha rounds, hutembea nusu uchi, hii yote inatokana na kauli mbovu ya; "mwanamke ni chombo cha starehe".
Lazima ulete uthibitisho na maerejeo sahihi yanayosema kuwa neno "STAREHE " ni udhalilishaji.Hutaki kujadiliwa kuhusu familia yako???--- swali, wewe huna dada, shangazi, mama mdogo, mama mzazi, binti au hata binti za nguguzo nk???, kama unao je hao sio wanawake???, na kama ni wanawake, je wao hawahusiki kuwa vyombo vya starehe??!!--- au wanawake wa starehe ni vyangudoa tu??---- hao vyangudoa sio mama, dada, shangazi, mabinti nk wa watu kama wewe???.