Mwanamke ni afadhali anuke kikwapa!

Mwanamke ni afadhali anuke kikwapa!

Ila kuna jasho lingine unaweza kuomba mtu asitumie perfume mara kwa mara, once in a while. 😜

sio jasho la carolite mkuu na carotone..weka.mbali kbs hilo aisee..usilisikie...shukuru hulijui
 
Inategemea ntu na ntu. Kuna harufu nyingine za jasho la mwanamke au jasho la kwapa zinakinaisha sana na nyingine zinavutia na kuongeza mahanjam mnapokuwa kwenye faragha.
kuna vijasho vyenye harufu ya katani mmmh weka mbali na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo mnaokota mademu wa manzese ndani ndani huko...
 
Hivi ninyi wanaume mna nini? wanaoongoza kwa kunuka marunyerunye wanaume bora hata ujue hili ni kwapa mwingine anana kwenye mdomo, kwapa, pumbu ukijumlisha hapo unapata bomu ya yeroshima kabisa. Maana zile boxer wanazozionyesha mara mmea wa bangi mara imeandikwa sijui ronado rangi unaajiuliza hii rangi ni toleo jipya ama? haieleiki njano kijana au brown na ramani juu, najiuliza huwa mnazivaa miaka mingapi bila kuzigua?
 
Mazingira Yetu, Kwa kiasi kikubwa yana changamoto kubwa katika suala la Usafi Wa Mwili.

Wengine huhusisha Umaskini uliokithiri unamchango katika hari mbaya ya Usafi wa Mwili na Mazingira.

Maji ukachote kisimani kilomita 6,
Pesa ya Sabuni kizungumkuti,
Pesa ya Mavazi changamoto.

Miundombinu yakufanyia shughuli za kijamii na kiuchumi taabu kweli kweli,Jua kali nguvu asilimia 99.

Wazama chumvini na Waramba koni,Testicles Wanamoyo waujasili kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja!
Kwa kifupi sipendi harufu yoyote mbaya!nikitaka kudate na mwanamke yeyote cha kwanza inategemea ananukia vipi,Mimi kumtongoza mwanamke Mara ya kwanza nakutana nae inategemea ananukia vipi!
Harufu inayoniboa kushinda zote ni harufu za vipodozi vya kujichubua kama carolight,carotone etc,nikikutana na wanawake wenye harufu hizo siku yangu inaharibika kabisa ni Mara kumi hata anuke kikwapa!


Sent by Diaspora


Then you will never date Wema Sepetu biti mikorogo na matako yake ya kichina.
 
daa mwanamke akinuka mdomo na papuchi stimu zotee zinapoteee
cku iyo ntaonekana mi ni mwanaume wa Dar kumbe sio😀😀
ishawai nitokea asee....ngoma iligoma kusimama kwa viharufu vya ajabu....niliona bora anione wa Dar,,,nikahirisha gemu aseee na hapo hapo nikampiga chini sikutaka mazoea tena
 
ishawai nitokea asee....ngoma iligoma kusimama kwa viharufu vya ajabu....niliona bora anione wa Dar,,,nikahirisha gemu aseee na hapo hapo nikampiga chini sikutaka mazoea tena
[emoji23] [emoji23]

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom