Mwanamke ni afadhali anuke kikwapa!

Mwanamke ni afadhali anuke kikwapa!

Inategemea ntu na ntu. Kuna harufu nyingine za jasho la mwanamke au jasho la kwapa zinakinaisha sana na nyingine zinavutia na kuongeza mahanjam mnapokuwa kwenye faragha.


sio jasho la carolite mkuu na carotone..weka.mbali kbs hilo aisee..usilisikie...shukuru hulijui
 
Ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja!
Kwa kifupi sipendi harufu yoyote mbaya!nikitaka kudate na mwanamke yeyote cha kwanza inategemea ananukia vipi,Mimi kumtongoza mwanamke Mara ya kwanza nakutana nae inategemea ananukia vipi!
Harufu inayoniboa kushinda zote ni harufu za vipodozi vya kujichubua kama carolight,carotone etc,nikikutana na wanawake wenye harufu hizo siku yangu inaharibika kabisa ni Mara kumi hata anuke kikwapa!


Sent by Diaspora
MI spendi wadada wanaunuka mdomo na K.Pia spendi harufu ya hayo makarolaiti
 
Back
Top Bottom