Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
 
Hao wenye sura mbaya umewaona wapi?

Mpaka ufikie kumuita mwenzako mbaya ilhali humjui, basi una matatizo.

PS
Sijaona hiyo avatar yako, upload kwenye thread, via mobile na sie tupate cha kutukera.
 
Hongera unafiga bomba sana twenzetu PM hapa wanga wengi
 
Hao wenye sura mbaya umewaona wapi?

Mpaka ufikie kumuita mwenzako mbaya ilhali humjui, basi una matatizo.

PS
Sijaona hiyo avatar yako, upload kwenye thread, via mobile na sie tupate cha kutukera.

Acha choko choko wewe mtoto
Huoni mtoto mrembo huyo?
 
Hao wenye sura mbaya umewaona wapi?

Mpaka ufikie kumuita mwenzako mbaya ilhali humjui, basi una matatizo.

PS
Sijaona hiyo avatar yako, upload kwenye thread, via mobile na sie tupate cha kutukera.

Makelele ya nini kila siku wewe? Si uweke sura yako watu watutathmini.
 
unafunika mrembo, mimi ni Senior Bachelor karibu sana japo urafiki wa kaka na dada na mimi hiyo ni Avatar yangu halisi hiyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom