Mwanamke nadhifu

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,607
8,659
Jamani ilinijue huyu mwanamke ninadhifu inanipasa niangalie nini??kigezo gani kinawezakumuwakilisha mwanamke kuwa huyu ni msafi sekita zote??
 
Macho yanadanganya maana mimi nilishakutana na dada mmoja pale zain kipindi hicho celtel pale my fairplaza najua yaliyonikuta ila outlook upindui!!
 
kila asubui mpangshe mstari umfanyie ukaguz utajua km mchafu au smat
kwa macho tu bwana outlook aidanganyi....+mtembelee kwake utayajua meng....
... nilisoma na dada mmoja uyo uku nje nakwambia msaaaaaaaaaaaafi nguo saaaaaaaaaafi nywele murwa bt dahh uko chumban kwake ata panya haingiii manake kuchafu kufaa...taulo kufua ni semester kwa semester...izo kufuli zake ahhh mungu wangu
...nguo kazirundika uvungun apo km kichuguuu anafanya kuinama na kuichoropoa moja anayotaka kuvaa kesho anaifua bas mpango kamili....lakin akaipita yan malaika uyu apa
...kitanda sjawai ona kimetandkwa mashuka yake ata kupigia dek hayafai..
kweli mnatakiwa kuwa makin wanaume manake muonekano wa nje wa mdada uenda tofaut na mausaf mengne!!!!!!
 
Leo ni Airtell....! It is no longer Zain, just ili wakwepe kulipa kodi .....!

kila asubui mpangshe mstari umfanyie ukaguz utajua km mchafu au smat
kwa macho tu bwana outlook aidanganyi....+mtembelee kwake utayajua meng....
... nilisoma na dada mmoja uyo uku nje nakwambia msaaaaaaaaaaaafi nguo saaaaaaaaaafi nywele murwa bt dahh uko chumban kwake ata panya haingiii manake kuchafu kufaa...taulo kufua ni semester kwa semester...izo kufuli zake ahhh mungu wangu
...nguo kazirundika uvungun apo km kichuguuu anafanya kuinama na kuichoropoa moja anayotaka kuvaa kesho anaifua bas mpango kamili....lakin akaipita yan malaika uyu apa
...kitanda sjawai ona kimetandkwa mashuka yake ata kupigia dek hayafai..
kweli mnatakiwa kuwa makin wanaume manake muonekano wa nje wa mdada uenda tofaut na mausaf mengne!!!!!!
Well noted...! Thanks...!
 
mm i just take a deep look in a close distance, 1 min nitajua, kama mchafu wa mwili, ni ngumu kueleza hapa, i usually get it right, najua hata wale wanaobahatisha usafi, na hii ni kazi ya mwanaume to have an eagle eye kwa maswala haya, mm hta demu avae nguo gani nitakuambia huyu mkali sana, na akivua nguo mzigo huu usiseme, again have an eagle eye, no class, or training, ila anapoishi ni vigumu kugundua instantly
 
Pakuanzia FL1

Kuaznia unyayo mpaka utosini
Nywele safi hata kama hazina zazuuu lakini zimechana vizuri na kupakwa mafuta safi
Masikio yamesafishwa vizuri,Meno yamepigwa mswaki no harufu ya mdomo akiongea
Kikwapa hukisikii kikitoa harufu mbaya
Mavazi yake ni safi kuanzia nguo na viatu ni safi hata kama si yale ya gharama kubwa lakini yamepangiliwa kiustadi

Msafi kuanzia room yake na jikoni ,choo na nyumba nzima kwa ujumla
Kwa ujumla muonekano nadhifu. ila sijui kama swali lako ulivyotaka ndo majibu yenyewe
Ukitaka na za kimodel tunaweza kuweka hapa
 
EBWANA UWE MAKINI NA KELE HKAHARUFU KANAKOTOKEA ILE SEHEMU MUHIMU,KWANI HATA APIGE PAMBA VIPI AJIPODOWE VIPI,LAKINI KAMA KALE KAJAMAA KANAPRODUCE BAD SMELL,AAAAAAAAAAH SIYO SAFI BANA

Mapinduziiiiii daimaaaaaaa
 
msichana msafi mchunguze maeneo haya:
-kucha,ziwe ndefu au fupi zinatakiwa ziwe safi.
-nywele,kama anaziosha kila siku zitangara na kunukia vizuri na zitamfanya avutie.
-ngozi,yake kama anaihudumia vizuri utaiona tu jinsi inavyovutia,hata kama ana umri gani.ngozi pia inahitaji usafi wa hali ya juu.
-mavazi,yawe ya gharama au mitumba lkn akiwa msafi hatakubali kuvaa nguo iliyojikunja,chafu,yenye madoa wala yenye matobo au kasoro fulani.
-viatu,vitakuwa visafi wala hataruhusu kutembea na kiatu chenye vumbi,wala kilichopauka au chenye kasoro.
-Miguu,yake utaiona imesafishwa vizuri na kupakwa mafuta ya kuyalainisha.hata kama ni ya nazi au ya karanga.
-nywele zote zisitohitajika atahakikisha anazinyoa,na kwa anayejipenda zaidi atahakikisha anazinyoa kwa vitu vinavyoacha ngozi za maeneo hayo zikiwa laini kama ngozi ya uso wake.
-mwili wake hautanuka jasho wala kutoa arufu yeyote ya ajabu sababu atahakikisha anasafisha vyema kila sehemu ya mwili wake.
kwa kweli dada anayetekeleza haya ni MSAFI kama tunaongelea usafi wa mwili,ile kwa nyumba kama walivyosema wengine,mtu anaweza kuwa msafi wa mwili lkn anapoishi ni sawa na jalala.
 
hii mambo uwe karibu na mtu ndo utajua wengine nje wamama wamapouda ngoja ufike nyumbani hata kamasi wanapengea kwenye vyupi vyao wallahi hata akikupa maji hunywi​
 
msichana msafi mchunguze maeneo haya:
-kucha,ziwe ndefu au fupi zinatakiwa ziwe safi.
-nywele,kama anaziosha kila siku zitangara na kunukia vizuri na zitamfanya avutie.
-ngozi,yake kama anaihudumia vizuri utaiona tu jinsi inavyovutia,hata kama ana umri gani.ngozi pia inahitaji usafi wa hali ya juu.
-mavazi,yawe ya gharama au mitumba lkn akiwa msafi hatakubali kuvaa nguo iliyojikunja,chafu,yenye madoa wala yenye matobo au kasoro fulani.
-viatu,vitakuwa visafi wala hataruhusu kutembea na kiatu chenye vumbi,wala kilichopauka au chenye kasoro.
-Miguu,yake utaiona imesafishwa vizuri na kupakwa mafuta ya kuyalainisha.hata kama ni ya nazi au ya karanga.
-nywele zote zisitohitajika atahakikisha anazinyoa,na kwa anayejipenda zaidi atahakikisha anazinyoa kwa vitu vinavyoacha ngozi za maeneo hayo zikiwa laini kama ngozi ya uso wake.
-mwili wake hautanuka jasho wala kutoa arufu yeyote ya ajabu sababu atahakikisha anasafisha vyema kila sehemu ya mwili wake.
kwa kweli dada anayetekeleza haya ni MSAFI kama tunaongelea usafi wa mwili,ile kwa nyumba kama walivyosema wengine,mtu anaweza kuwa msafi wa mwili lkn anapoishi ni sawa na jalala.
Nashukuru kwa hzo sifa kwan hata mpenzi wangu anazo hzo sifa!
 
Nakubaliana na Rose kufika anapoweka mbavu zake usiku ni muhimu na utajua mengi kuna mmoja nilimtembelea ndoo nzima imejaa chupi chafu na chumba wacha kulala hata kupumzika sijaweza kwa uchafu ukikutana nae mjini kapendeza full manukato.
 
msichana msafi mchunguze maeneo haya:
-kucha,ziwe ndefu au fupi zinatakiwa ziwe safi.
-nywele,kama anaziosha kila siku zitangara na kunukia vizuri na zitamfanya avutie.
-ngozi,yake kama anaihudumia vizuri utaiona tu jinsi inavyovutia,hata kama ana umri gani.ngozi pia inahitaji usafi wa hali ya juu.
-mavazi,yawe ya gharama au mitumba lkn akiwa msafi hatakubali kuvaa nguo iliyojikunja,chafu,yenye madoa wala yenye matobo au kasoro fulani.
-viatu,vitakuwa visafi wala hataruhusu kutembea na kiatu chenye vumbi,wala kilichopauka au chenye kasoro.
-Miguu,yake utaiona imesafishwa vizuri na kupakwa mafuta ya kuyalainisha.hata kama ni ya nazi au ya karanga.
-nywele zote zisitohitajika atahakikisha anazinyoa,na kwa anayejipenda zaidi atahakikisha anazinyoa kwa vitu vinavyoacha ngozi za maeneo hayo zikiwa laini kama ngozi ya uso wake.
-mwili wake hautanuka jasho wala kutoa arufu yeyote ya ajabu sababu atahakikisha anasafisha vyema kila sehemu ya mwili wake.
kwa kweli dada anayetekeleza haya ni MSAFI kama tunaongelea usafi wa mwili,ile kwa nyumba kama walivyosema wengine,mtu anaweza kuwa msafi wa mwili lkn anapoishi ni sawa na jalala.

Cheusi hapo umeua bendi hapo............ wakikushika usije huku!
Ila kuna wasafi mpaka unapata picha kwamba hata na kwa bibi lazime kuwe swafi!
 
Back
Top Bottom