Jamani ilinijue huyu mwanamke ninadhifu inanipasa niangalie nini??kigezo gani kinawezakumuwakilisha mwanamke kuwa huyu ni msafi sekita zote??
Leo ni Airtell....! It is no longer Zain, just ili wakwepe kulipa kodi .....!Macho yanadanganya maana mimi nilishakutana na dada mmoja pale zain kipindi hicho celtel pale my fairplaza najua yaliyonikuta ila outlook upindui!!
Well noted...! Thanks...!kila asubui mpangshe mstari umfanyie ukaguz utajua km mchafu au smat
kwa macho tu bwana outlook aidanganyi....+mtembelee kwake utayajua meng....
... nilisoma na dada mmoja uyo uku nje nakwambia msaaaaaaaaaaaafi nguo saaaaaaaaaafi nywele murwa bt dahh uko chumban kwake ata panya haingiii manake kuchafu kufaa...taulo kufua ni semester kwa semester...izo kufuli zake ahhh mungu wangu
...nguo kazirundika uvungun apo km kichuguuu anafanya kuinama na kuichoropoa moja anayotaka kuvaa kesho anaifua bas mpango kamili....lakin akaipita yan malaika uyu apa
...kitanda sjawai ona kimetandkwa mashuka yake ata kupigia dek hayafai..
kweli mnatakiwa kuwa makin wanaume manake muonekano wa nje wa mdada uenda tofaut na mausaf mengne!!!!!!
Pakuanzia FL1
Kwapa, meno, nywele, na harufu yake......
Nashukuru kwa hzo sifa kwan hata mpenzi wangu anazo hzo sifa!msichana msafi mchunguze maeneo haya:
-kucha,ziwe ndefu au fupi zinatakiwa ziwe safi.
-nywele,kama anaziosha kila siku zitangara na kunukia vizuri na zitamfanya avutie.
-ngozi,yake kama anaihudumia vizuri utaiona tu jinsi inavyovutia,hata kama ana umri gani.ngozi pia inahitaji usafi wa hali ya juu.
-mavazi,yawe ya gharama au mitumba lkn akiwa msafi hatakubali kuvaa nguo iliyojikunja,chafu,yenye madoa wala yenye matobo au kasoro fulani.
-viatu,vitakuwa visafi wala hataruhusu kutembea na kiatu chenye vumbi,wala kilichopauka au chenye kasoro.
-Miguu,yake utaiona imesafishwa vizuri na kupakwa mafuta ya kuyalainisha.hata kama ni ya nazi au ya karanga.
-nywele zote zisitohitajika atahakikisha anazinyoa,na kwa anayejipenda zaidi atahakikisha anazinyoa kwa vitu vinavyoacha ngozi za maeneo hayo zikiwa laini kama ngozi ya uso wake.
-mwili wake hautanuka jasho wala kutoa arufu yeyote ya ajabu sababu atahakikisha anasafisha vyema kila sehemu ya mwili wake.
kwa kweli dada anayetekeleza haya ni MSAFI kama tunaongelea usafi wa mwili,ile kwa nyumba kama walivyosema wengine,mtu anaweza kuwa msafi wa mwili lkn anapoishi ni sawa na jalala.
msichana msafi mchunguze maeneo haya: