Mwanamke na nyoka ama nyoka na mwanamke vyovyote vile

Kuna mamo machache yanayochangia.
1. Ule ukweli kwamba MUNGU ndiye muasisi wa ndoa, hauna nafasi tena sik hizi. Ndoa imebaki kuwa kitu kinachotokea kutokana na tamaa zamwanadam.
2. Andikolinasema " mke mwema mtu hupewa na MUNGU" halina nafasi siku hizi, baadala yake mke hupatikana kwa nguvu ya pesa etc etc etc.
3. Heshima ya ndo imepotea. Kinachoheshimiwa siku hizi n pesa, umaarufu, utajiri, n.k.
4. Hakuna usafi wa ndoa, sometimes nakuwa na wasiwasi na uelewa wa viongozi wetu wa dini kuhusu ndoa. Anapata wapi.mamlaka.ya kufungisha ndoa na watu waliokwisha zaa siku nyingi, achilia mbali ujauzito na kungonoana kwa mda mrefu? Nadhani hata matumizi sahihi ya shera hatuyajui.
5. Mwisho, kama tunataka ndoa zetu zidumu, hakuna muujiza zaidi ya kuruhusu MUNGU pekee atawale.ndoa zetu.
 
Yap ni kweli ndugu yangu,but tunapoenda mbele unaona chochote?

kuvunjika kwa ndoa kuna changiwa na mambo mengi sana, tunachotakiwa ni kumuomba Mungu atuepushe na atujalie upendo wa kweli na uvumilivu kwa wenzi wetu
 
Hapo nimekupata na ndio cha muhimu

Kuna mamo machache yanayochangia.
1. Ule ukweli kwamba MUNGU ndiye muasisi wa ndoa, hauna nafasi tena sik hizi. Ndoa imebaki kuwa kitu kinachotokea kutokana na tamaa zamwanadam.
2. Andikolinasema " mke mwema mtu hupewa na MUNGU" halina nafasi siku hizi, baadala yake mke hupatikana kwa nguvu ya pesa etc etc etc.
3. Heshima ya ndo imepotea. Kinachoheshimiwa siku hizi n pesa, umaarufu, utajiri, n.k.
4. Hakuna usafi wa ndoa, sometimes nakuwa na wasiwasi na uelewa wa viongozi wetu wa dini kuhusu ndoa. Anapata wapi.mamlaka.ya kufungisha ndoa na watu waliokwisha zaa siku nyingi, achilia mbali ujauzito na kungonoana kwa mda mrefu? Nadhani hata matumizi sahihi ya shera hatuyajui.
5. Mwisho, kama tunataka ndoa zetu zidumu, hakuna muujiza zaidi ya kuruhusu MUNGU pekee atawale.ndoa zetu.
 
Hebu jaribu soma vitabu vinaitwa bits and pieces hutaelewa chochote kama simple hivi hujaelewa

Wakati mwingine to shoot straight at the point ni much better rather than trying to be a smart pants nakuweka maneno mengi which doesn't make sense
 
Back
Top Bottom