Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,570
- 48,703
aisee hii kitu imeniharibia mpango wangu wa kesho..
Sio kwa ridhaa yangu ila huyu bibie anajileta sana nikaona isiwe kesi NB: Anachura kinoma kama za huko DarNimecheka sana, ina maana ulitegemea kutafuna mke wa mtu kesho.
yaan wew n kitasa,aisee hii kitu imeniharibia mpango wangu wa kesho..
wakenya bna mnashindwa kushika alshababu wanaswe na mabomu yao mnahangaika na ngono ovyo kweliHehehehe.....
Hii noma, haya bwana mkae na wake zenu hatuwagusi. Yaani inabidi mwanamke unipe ushahidi tosha kwamba hujaolewa kabla hata nikuulize jina na namba ya simu. Aibu za hivi sizitaki, unaanikwa kwenye runinga ya taifa...