Mwanamke na maombi

Mwanamke na maombi

Alelujaaah.!! Bwana akubariki mtumishi.!!
Inapendeza kujiwekea hazina mbinguni
Ameen, mama Pastor Lamomy ,maana neno linasema hadhina yako ilipo ndipo na moyo wako unakuwepo, na mie nimechagua hadhina yangu iwe mbinguni, na kuna mahala pia neno lasema kheri kutoa kuliko upokea.. nimeamua kumtolea vyote Bwana.. Hallelujah
 
Back
Top Bottom