Mwanamke na maombi

Mwanamke na maombi

Kumbe sio kwa mmoja tu huyu atafungua mtaji soon 5000 kwa watu 2000 ni ml,1 elfu kumi kwa watu 2000 ni ml 20 so ameshakuwa rich
 
Ameen, mama Pastor Lamomy ,maana neno linasema hadhina yako ilipo ndipo na moyo wako unakuwepo, na mie nimechagua hadhina yangu iwe mbinguni, na kuna mahala pia neno lasema kheri kutoa kuliko upokea.. nimeamua kumtolea vyote Bwana.. Hallelujah
Mungu akubariki na akupe matamanio ya imani yako kwake.! 🙏
 
NGUVU ILIYO NDANI YA WANAWAKE WAOMBAJI/WAOMBOLEZAJI
1. Wanawake Waombaji ni WABADILISHA MATOKEO...Machozi ya Mwanamke YANA NGUVU KUBWA sana ambayo inaweza kubadili CHOCHOTE lakini Sisi Wenyewe tumeamua KUTOKUTUMIA NGUVU HII na tumeamua kuwa WASHIRIKINA na WAMBEA... (Mimi nimeacha umbea msianze nongwa zenu) 😜

2. Wanawake ni WALINZI wa WANAUME...Lakini wao wanasema "I NEED A MAN WHO CAN GIVE ME SECURITY wakati Yeye ndo alipaswa kuwa SECURITY wa Mmewe...Wanakimbia Role Zao in the name of MAHABA FEKI..Poleni sana!

3. Wanawake ni VIONGOZI NA WASAIDIZI...Wanaume ni VICHWA,sawa,lakini Umewahi kukutana na Binadamu mwenye KICHWA TU bila MWILI?

Mwili ndio KILA KITU na Kichwa bila Mwili ni BURE ila HAMJUI...Mnataka Mwanaume ndo awe ATM yako bila kujali huyo MWANAUME anazipata wapi hizo Fedha.

MWANAMKE anapaswa kuwa MSAADA kwa Mmewe,Sio tu Msaada wa Kumpanulia Usiku lakini Msaada wa KUMPANUA MAWAZO,Kumshauri Jinsi ya Kufanikiwa,Ainvest Wapi,Aweke Akiba Kiasi gani,Atumie Shilingi ngapi,Asitumie Fedha wapi...Lakini Wao wameamua kuwa THE OPPOSITE,Hawasaidii Lolote ila WANATAKA HELA.

Haya wala sio maneno yangu,ni BIBLIA...Usilie Kwa Sababu ya Mwanaume Bwege anayekusumbua,LIA NA KUOMBOLEZA kwa ajili ya Mambo ya Msingi...YOUR TEARS ARE SO POWERFUL,They can change YOU...They Can Change YOUR FAMILY. They can change YOUR FINANCES...They can change UR MANS FUTURE...na kubwa zaidi THEY CAN CHANGE A NATION.

USE YOUR TEARS WISELY DEAR WOMAN,Dont Cry Over A Stupid Nigga,hayo ni MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI-MACHOZI uliyopewa... "Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi WANAWAKE, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu KUOMBOLEZA, Na kila mmoja jirani yake KULIA, Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu. Nena, BWANA asema hivi,Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanya” (Yeremia 9:20-22)

Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; MWANAMKE atamlinda MWANAMUME” (Yeremia 31:22)
SASA NISIKIE UMEACHWA UNALIA!

Fumba Macho yako Tuombee SADAKA,TOA SADAKA yako kupitia MPESA PM😹😹😹

(Ntashangaa sana nikikuta Sadaka PM) 😂
Nikuoe?
 
Ubarikiwe 🙏
 
Umekariri 🤣🤣🤣
Nyie zile chitchat ziliwafunga macho, mimi ni mwanamke wa mithali shauri yako usinichukulie poa poa"
Wokovu umefikiwa.Anyway ulichokiandika sina Shaka nacho kabisa.Mungu ni mwaminifu Sana tukiomba kwa kumaanisha.Tumeambiwa wanawake ni jeshi kubwa.Niko shallow kwenye biblia wanawake WA mfano ni kina Abigail na Nani tena?🙆🙆🙆
 
MAJUKUMU YA MWANAMKE NDO YANA NGUVU ILA SI MWANAMKE MWENYEWE NDO MAANA UKIPATA MWANAMKE ASIYE-FIT KWENYE MAJUKUMU HAPO HAKUNA FAMILIA.
Familia huwa ni ya mwanamke, wanaume tunapambania familia ya mwanamke ipo safi huko mbeleni
 
Back
Top Bottom