Uzi mzuri sana kwa hawa wenzetu,ila watakavyo upokea huu ujumbe Mungu ndio anajua,ngoja niwe nasoma tu comments zao...NGUVU ILIYO NDANI YA WANAWAKE WAOMBAJI/WAOMBOLEZAJI
1.Wanawake Waombaji ni WABADILISHA MATOKEO...Machozi ya Mwanamke YANA NGUVU KUBWA sana ambayo inaweza kubadili CHOCHOTE lakini Sisi Wenyewe tumeamua KUTOKUTUMIA NGUVU HII na tumeamua kuwa WASHIRIKINA na WAMBEA... (Mimi nimeacha umbea msianze nongwa zenu) ๐
2.Wanawake ni WALINZI wa WANAUME...Lakini wao wanasema "I NEED A MAN WHO CAN GIVE ME SECURITY wakati Yeye ndo alipaswa kuwa SECURITY wa Mmewe...Wanakimbia Role Zao in the name of MAHABA FEKI..Poleni sana!
3.Wanawake ni VIONGOZI NA WASAIDIZI...Wanaume ni VICHWA,sawa,lakini Umewahi kukutana na Binadamu mwenye KICHWA TU bila MWILI??Mwili ndio KILA KITU na Kichwa bila Mwili ni BURE ila HAMJUI...Mnataka Mwanaume ndo awe ATM yako bila kujali huyo MWANAUME anazipata wapi hizo Fedha...MWANAMKE anapaswa kuwa MSAADA kwa Mmewe,Sio tu Msaada wa Kumpanulia Usiku lakini Msaada wa KUMPANUA MAWAZO,Kumshauri Jinsi ya Kufanikiwa,Ainvest Wapi,Aweke Akiba Kiasi gani,Atumie Shilingi ngapi,Asitumie Fedha wapi...Lakini Wao wameamua kuwa THE OPPOSITE,Hawasaidii Lolote ila WANATAKA HELA...
Haya wala sio maneno yangu,ni BIBLIA...Usilie Kwa Sababu ya Mwanaume Bwege anayekusumbua,LIA NA KUOMBOLEZA kwa ajili ya Mambo ya Msingi...YOUR TEARS ARE SO POWERFUL,They can change YOU...They Can Change YOUR FAMILY...They can change YOUR FINANCES...They can change UR MANS FUTURE...na kubwa zaidi THEY CAN CHANGE A NATION...
USE YOUR TEARS WISELY DEAR WOMAN,Dont Cry Over A Stupid Nigga,hayo ni MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI-MACHOZI uliyopewa... "Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi WANAWAKE, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu KUOMBOLEZA, Na kila mmoja jirani yake KULIA,Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu. Nena, BWANA asema hivi,Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanyaโ (Yeremia 9:20-22)
Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; MWANAMKE atamlinda MWANAMUMEโ (Yeremia 31:22)
SASA NISIKIE UMEACHWA UNALIA!
Fumba Macho yako Tuombee SADAKA,TOA SADAKA yako kupitia MPESA ๐น๐น๐น
(Ntashangaa sana nikikuta Sadaka PM) ๐
Acha usaniiii....Kafanye kazi mimi nitaombea baraka za Mungu ziwe juu yako.!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ nimeacha bana hata wakiniletea siku hizi nawafukuza SITAKI TENA UMBEAManeno kuntu hayo hasa hizo qoutation za Bible...
Neno lako lingekua zuri kama usingetumia vi emoji emoji...
Yani utani ungeweka pembeni ungebarikiwa kwanza tuu kwa kuandika...
Lamomy na umbea hauwezi vitenganisha...๐๐
Kumbe walikua wanakuletea wenyewe ulianzishe halafu wao wanakaa pembeni๐๐bora uache tuu ni kujichosha tuu na hizi fake IDs...unaweza ukawa unachambana na boss au wifi yako bila kujua...๐คฃ๐คฃ๐คฃ nimeacha bana hata wakiniletea siku hizi nawafukuza SITAKI TENA UMBEA
baby mambooManeno kuntu hayo hasa hizo qoutation za Bible...
Neno lako lingekua zuri kama usingetumia vi emoji emoji...
Yani utani ungeweka pembeni ungebarikiwa kwanza tuu kwa kuandika...
Lamomy na umbea hauwezi vitenganisha...๐๐
Kuna mtu amepigwa na kitu kizitoNGUVU ILIYO NDANI YA WANAWAKE WAOMBAJI/WAOMBOLEZAJI
1.Wanawake Waombaji ni WABADILISHA MATOKEO...Machozi ya Mwanamke YANA NGUVU KUBWA sana ambayo inaweza kubadili CHOCHOTE lakini Sisi Wenyewe tumeamua KUTOKUTUMIA NGUVU HII na tumeamua kuwa WASHIRIKINA na WAMBEA... (Mimi nimeacha umbea msianze nongwa zenu) ๐
2.Wanawake ni WALINZI wa WANAUME...Lakini wao wanasema "I NEED A MAN WHO CAN GIVE ME SECURITY wakati Yeye ndo alipaswa kuwa SECURITY wa Mmewe...Wanakimbia Role Zao in the name of MAHABA FEKI..Poleni sana!
3.Wanawake ni VIONGOZI NA WASAIDIZI...Wanaume ni VICHWA,sawa,lakini Umewahi kukutana na Binadamu mwenye KICHWA TU bila MWILI??Mwili ndio KILA KITU na Kichwa bila Mwili ni BURE ila HAMJUI...Mnataka Mwanaume ndo awe ATM yako bila kujali huyo MWANAUME anazipata wapi hizo Fedha...MWANAMKE anapaswa kuwa MSAADA kwa Mmewe,Sio tu Msaada wa Kumpanulia Usiku lakini Msaada wa KUMPANUA MAWAZO,Kumshauri Jinsi ya Kufanikiwa,Ainvest Wapi,Aweke Akiba Kiasi gani,Atumie Shilingi ngapi,Asitumie Fedha wapi...Lakini Wao wameamua kuwa THE OPPOSITE,Hawasaidii Lolote ila WANATAKA HELA...
Haya wala sio maneno yangu,ni BIBLIA...Usilie Kwa Sababu ya Mwanaume Bwege anayekusumbua,LIA NA KUOMBOLEZA kwa ajili ya Mambo ya Msingi...YOUR TEARS ARE SO POWERFUL,They can change YOU...They Can Change YOUR FAMILY...They can change YOUR FINANCES...They can change UR MANS FUTURE...na kubwa zaidi THEY CAN CHANGE A NATION...
USE YOUR TEARS WISELY DEAR WOMAN,Dont Cry Over A Stupid Nigga,hayo ni MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI-MACHOZI uliyopewa... "Lakini lisikieni neno la BWANA, enyi WANAWAKE, Na masikio yenu yapokee neno la kinywa chake; Mkawafundishe binti zenu KUOMBOLEZA, Na kila mmoja jirani yake KULIA,Kwa maana mauti imepandia madirishani mwetu, imeingia majumbani mwetu; Ipate kuwakatilia mbali watoto walio nje, na vijana katika njia kuu. Nena, BWANA asema hivi,Mizoga ya watu itaanguka kama samadi juu ya mashamba, Na kama konzi ya ngano nyuma yake avunaye, wala hapana mtu atakayeikusanyaโ (Yeremia 9:20-22)
Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; MWANAMKE atamlinda MWANAMUMEโ (Yeremia 31:22)
SASA NISIKIE UMEACHWA UNALIA!
Fumba Macho yako Tuombee SADAKA,TOA SADAKA yako kupitia MPESA ๐น๐น๐น
(Ntashangaa sana nikikuta Sadaka PM) ๐
Nimeshitukaaa ..NGUVU ILIYO NDANI YA WANAWAKE WAOMBAJI/WAOMBOLEZAJI

Wanaleta wenyewe mahi ๐น๐นKumbe walikua wanakuletea wenyewe ulianzishe halafu wao wanakaa pembeni๐๐bora uache tuu ni kujichosha tuu na hizi fake IDs...unaweza ukawa unachambana na boss au wifi yako bila kujua...
Wachungaji wamewajaza upepo ili mjae kanisani wapate sadaka ๐๐๐๐ Tumeamua kuwaombea ss hivi.!
kiutani utani mmetoka hahah bonge la church sadaka kwa wik billion, mala paap mmepita mwamposa kwa nyomiOdo tafuta waumini ๐น๐น