Mwanamke na kufika kileleni

mie mwenyewe sijui,nasikiaga tu.Ngoja tusikie majibu
 
uchoyo wa wanaume na kutojiamini kwa wanawake. fullstop
 
hawajapata tu hao wa kuwapandisha kileleni, maandalizi hafifu ni sababu kubwa ya msingi, pia wanaume walio wengi hukosa uvumilivu, wao wakishafika kileleni wanajionea michosho tu kuendelea na kumfikisha mwanamke kileleni as a result wanajitia wamechoka, wanahitaji kulala badala ya kuridhisha wenzi wao
 
inategemea na age,afu pia mademu hawajitambui! My opinion.
 
wanaume walio wengi hawafanya maandalizi ya kutosha kwa wenzi wao hasa wanapokua wamezoeana sana,yani anasahau kama kilele cha wenzi wao pia nijambo la msingi,lkn pia:-vyakula,kutofanya mazoezi na msongo wa mawazo kimaisha nisababu muhimu pia.
 
wanaume wa siku hizi wana vibamia a.k.a vijipu a.k.a kidolegumba a.k.a vipisi kiasi kwamba hata mke au girl friend akikohoa tu kinatoka zoezi linaanza upya.Mitarimbo au mishididi ya ukweli siku hizi imekuwa adimu kama jasho la nyoka I think that's a problem.
 


hili limeshakuwa ni janga la kitaifa nowadays.............lol...
 
Kwani hao wazamani ulikuepo kisi kwamba unashaidi wa hilo???ukubwa wa kitu haina mausiano na kumridhisha mtu.mm mbona wasikuizi lakn mambo hayako ivo?this problem its completely have to be with scientific reason.
 
ukubwa wa uume sio sababu itakayomuwezesha mwanaume kumfikisha mwanamke kileleni.Kikubwa ni maandalizi ya kutosha kabla ya kufanya tendo lenyewe.
 

Wanaume tumeumbwa na ubinafsi - selfishness..na narcissism.. Jinsi wachache wetu wanapigana na hiyo hali ya ubinafsi ndivyo wanavyoingia kwenye kundi la wanaume bora..ni wachache wanaopita kwa huu mtihani.. Wengi wetu tunashindwa na tunabaki na ubinafsi wetu..
 
Yeah ni kweli hayo matatizo yapo,kwa mie tatizo ni upande letu la kiumeni....Elimu hatuna ya Tendo la ndoa!
Inamchukua M/ke dkd 12-20 Kufika Kileleni na Inamchukua dkk 3-5 M/Me kufika kileleni sasa kwa tofauti hiyo je ufanyaje uweze kwenda mpaka dkd 15-20 kwa m/me?

1.Kerge Exercise inasaidia sana,mie mwenyewe napiga game hadi dkd 45
2.Kula vizuri hasa vyakula vinavyooengeza libido
3.Soma soma kidogo kuhusiana na jinsi ya kumridhisha mwanamke

N.B kwa mwanamke ambae hajawai fika kileleni anitafute nitamuonesha utamu wa kilimanjaro bilive that.
 
Baadhi ya sababu za akina dada kutofika Kibo peak ni:-
(1) Badhi ya akina dada kuwa na aibu au hofu dhidi ya wapenzi wao hivyo tendo lile hufanyika bila ya kuwa na uhuru wa kutosha (Nazungumzia saikolojia hapa)
(2) Baadhi ya wanawake kusikia maumivu ndani ya sehemu za siri hasa kwa kuingiliwa bila kuwa na majimaji ya kutosha
(3) Baadhi ya wanaume kuwa wachovu kimapenzi, panakuwa na papara nyingi, kujamiiana kunaanza hata kabla ya kufika kitandani, hivyo baada ya kugusa ni kama vile kuku anavyofanya
(4) Baadhi ya wanawake kuwa na chango linalowazuia kuwa na hamu ya kujamiiana.
 
Hello ninaungana na wachangiaji wlaliotangulia. yapo mambo kadha wa kadha ya kufanya ili mwenzi wako afike kileleni
Maandaliizi ya kutomasana hadi wote kuridhika
Kula vema: Karanga, korosho n.k
Kuto kunywa pombe au ulevi wowote kupita kiasi.
Kutokuwa na wake au wapenzi wengi
Kutumia staili zaidi ya moja
Kufanya mazoezi
Soma vitabu, majarida n.k yahusuyo maloveeeeeeeeeeeee
Hapo ukishindwa, tafadhali mwone daktari
Kwa leo hayo ndiyo niliyokuwa nayo.
 

Mie wa siku hizi njoo unikague halafu unipe tundi na urudi hapa kuwataarifu kilichokupata
 
KILELENI MBALI SANA YATAKA MOYO,SIO HATARI KUISHIA NJIANI NA WAO WAJIZOESHE KUISHIA NJIANi
 
una muda eeeehh?/yaani mimi niache kazi zangu ili nisome vitabu vya kumfikisha mtu kileleni???not posible kama hafiki shauri zake,kuna wanaume wanajiuza siku hizi ili kufikisha wake za watu kileleni wanawake mkawanunue hao kama ISSUE NI KILELE
 

umejuaje?
 
asilimia kubwa ya wanawake walio kwenye ndoa ni wavivu , especial wale ambao tayari wamesha pata watoto, kila siku atakwambia amechoka , performance ya mwanamke as days goes on inashuka kwenye mapenzi hii upelekea kutofikishwa kileleni mara kwa mara sababu wanaume tupo faster to respond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…