Mwanamke mzuri nimempata

Mwanamke mzuri nimempata

Kuku kapanda baiskel bata kavaa laizoni
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Acha basi nyimbo ya kitambo sana kumbe wewe ni muenga😂😂😂😂😂
 
Bola hiyo nikiwa na miaka 6 kaka yangu alikula KWA mchungaji nikamuahidi sito sahau mpaka leo namkumbushaga
Yan wewe huwa unanifurahisha sana comment zako😂😂😂😂😂😂😂unawazaga nini mrembo
 
Tuachane na huyo kuna mtu anaitwa babu junior utamsikiaaa Oooooooooooh oooooooooh aha aha aha mr chocolate kula nanasi kwahitaji nafasi weeeeee tulikua hatupumui
aisee wewe mrembo mambo yote ayo ulikuwa unayajulia wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom