Ndugu yangu ndoa sio tabia tu, muhusika akupe apitite pia maana malengo ni kuish miaka 40 ijayo....
Kipind nikiwa kwenye mwanzo wa mahusiana na Mama Chanja aliniulizaga eti kitu gan sipend! ? Nkamjibu:: sipend mpenz wangu kua na kitambi uku naangalia pemben....!