Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

Lukonge karibu mkuu utoe neno kwa mtoa mada

Jibu laweza kuwa inawezekana au haiwezekani mpaka ifanyike tiba, na hapo ni pale utakapojua uvimbe na yatokanayo kama hali ya uvimbe unaozungumziwa:

1: Aina ya uvimbe(kama uvimbe unatoa vichocheo vya kuvuruga homoni za mama husika).

2: Ukubwa wa uvimbe. Kama uvimbe ni mkubwa kiasi unabana mfuko wa uzazi.

3: Sehemu ulipo uvimbe
Kama uvimbe umejishikisha sehemu pendwa ambayo mtoto hutakiwa kukaa ndani ya tumbo la uzazi. Pia ukubwa ndani ya tumbo la uzazi huweza kuharibu umbile la mji wa mimba au kukosesha nafasi ya mtoto kukua.

4: Idadi ya vivimbe kwa athari ya kujishikiza maeneo mbalimbali ndani ya mji wa mimba au kupunguza nafasi.

Hivyo ni vyema kufika kituo cha afya kutanabaisha hayo hapo juu.
 
Naam, bila Shaka mtoa mada amekuelewa na atalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom