Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
Anaitwa Anna Swan alitokea canada,lakini alifariki mwaka 1888 akiwa na miaka 41. Alikuwa ni Jitu(Giant) maana akiwa na miaka 11 tu alkua na kilo 96 akiwa amezidiwa na mama yake urefu wa inchi mbili tu(2 inches)...Uke wake ulikua na upana wa sentimita 41 ambayo ni karibia ukubwa wa mpira wa Rugby [emoji14][emoji14]