Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika?
02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa.
03.Mwanamke ambae ukikosana nae anakutumia clip za inspiration kuhusu mapenzi.
04.Mwanamke Ambae umeshapeleka barua kwao ila hawezi kuongea na wewe kwa simi hata kukuambia nipo na mama nk Yani anaongea na wewe muda anaotaka haijalishi ni muda wako wa KAZI nk
05.Mwnamke Ambae ukiwa kwenye mahusiano nae unaona kabisa huna mawazo na future nzuri, ukiwa nae kila siku changamoto nk
06.mwanamke ambae akikuta umempigia simu mara 10 yeye atakupigia simu mara moja usipopokea hakucheki tena mpaka wewe umtafute tena.
07.Mwanmke Ambae ukimuwashia moto tuachane na yeye anawasha moto Zaidi yako muachane, tena anawasha moto Zaidi yako.
08.mwanamke Ambae hajawai kupokea simu Yako on time
Daily anajitanya yuko busy
09.Mwanamke Ambae ni mbishi na mjuaji (feminist)
10.mwaanamke Ambae ukigombana nae anafuta namba yako ya wazazi wako on the spot.
11.Mwanamke Ambae anafanya makosa ambayo unamkataza kila siku.
12.Mwanmke mchoyo Ambae amewai kumnyima maji mtu Ambae hajuani nae.
13.Mwanamke Ambae anataka umuoe ili aondoke kwao mana amechoka kubanwa.
14.mwanamke Ambae anahairisha suala la ndoa ikitokea amepata mishe ya maana, anataka apate kwanza mishe.
Mwanamke tajwa hapo juu tayari umeshapeleka posa na umetaji a mahari je anafaaa kuwa mke??
Pia umemtoa bikra akiwa 20+