Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

Kuchapiwa kupo kila kona mtasema sana lakini genye kila mmoja anazo. Kunya anye kuku akinya bata kahalisha mfyuuuuuuuu

#ikikuumamezawwmbe
#povuuu
 
Kuoa Hakuna garantii Sana binadamu ni flexibility ubadilika badilika hata ukioa malaika anaweza geuka shetani.
Hata hao wenye pesa bila pesa watakusumbua,
We tafuta pesa.
Alie sema anatafuta mawe Nani ....? Kama hayana formula kaoe vichaa wanao zurula tuamin kweli hayana formula
 
sawa ndugu, fanya unaloamini wewe - oa mke then mkimbie yeye na watoto wako - kaishi nyumba ndogo afu utaona kitakachotokea kabla hujafa.
Ukimuacha mwanamke baada ya kufanikiwa ni lazima atakufanyizia.
Usikimbie damu yako ni laana hata kama umekimbia gubu makelele endelea kumuhudumia na familia.
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu , hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe , mara kiatu , mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
umeanza vizuri ,mwishoni umeharibu kila kitu mkuu
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu , hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe , mara kiatu , mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
Si kweli!! mwanamke bana ni kismart tu baaasi!! awe na kazi asiwe nayo, awe kilema sura km remmy weee!! angalia je mambo yako yanaenda super?..... km ana kismart bana apige mizinga tu kadiri awezavyo pesa si ipo??

usafiri, nyumba, magari, tena naongezea na ndgu zake waje pia na kwao jenga mjighorofa wa maana pes si ipo?? sasa ya nini nitafute mwenye kazi meneja lkn mikosi tupu!! atakutesa na hela zake!....mke ni kismart bana!
 
Mkuu katika suala la ndoa kupata mke 90% kakamilika ni ngumu Sana.

Ila kwa sasa adui mkubwa wa ndoa zetu ni mama mkwe..
Haswa ikiwa baba mkwe hana sauti.

Mama mkwe akikupenda basi utaishi kama peponi ktk ndoa yako.

Wanawake wengi ndoa zao huvunjika kwa ushauri wa mama zao..

mke hata awe na kazi na mafanikio akipata mama kichwa maji basi ujuwe ndoa huna..

Mke mshauri wa ndoa yake ni mama yake.
 
Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu.

Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha. Haijalishi yupoje.

Ukifanikiwa kumuoa mwanamke mwenye njaa Basi tegemea majanga makubwa Sana ndani ya hiyo ndoa yako ikiwemo umasikini mkubwa Sana Kama atafanikiwa kukutawala.

Mwanamke mwenye njaa Hana shughuli ya kufanya hapa muda wake mwingi lazima atautumia kuwaza midinyo tu na mahitaji yake ya pesa yote atakuelekezea wewe na ukiteteleka tu kiuchumi watakutombea wenye nazo. Na mkeo hata Isha kuwashobokea wanaume wenye hela. Na Kama unajiweza kipesa mzee hapa lazima afanye juu chini akuweke Kati usije ukamuacha kinacho fuata hapa ni kuwekwa kwenye chupa ili aweze kukucontrol vizuri.

Kama mjuavyo "idle mind is the workshop of devil".

Hivi kichwa kisicho taka kujishughulisha na hesabu za hasara na faida, nifanye Nini kuongeza kipato Cha familia, niongezee nn kwenye biashara yangu, nimuombe kiasi gani mme anibust kwenye mtaji, .....nk hivi kichwa kisicho taka kufikiri hayo unadhani kitafikiri Nini.....?

Mwanamke mwenye njaa ukimpata kwa njaa zake jua umeoa njaa na akishiba akili zake zitamkaa sawa na kutafuta wa kufanana nae na kukuacha na njaa ulio mpendea.

Kuna utofauti mkubwa Sana Kati ya mwanamke mwenye njaa na Alie Shiba kwenye maamuzi yao wanapo ingia ndoani.

NB
Ni Bora ukamuoa mwanamke anae uza vitumbua mtaani maana anajitambua Ila kaamua kuuheshimu mwili wake maana angetaka kuishi kwa kudanga asinge shindwa maana mtaji ni mbunye tu na mbususu anayo kuliko hao unao waona wamependeza na hakuna kazi wanazo fanya.

Kazi kwenu
mapenzi hayana fomula na wengi wameowa wanawake wa aina hiyo.
 
Ukitaka kufanikiwa ni lazima umuheshimu mke wako, ni kweli wengi hawajali - mkeo akitoka machozi ya uchungu kwa namna umtendanvyo ndugu yangu - you have to pay it trust me.
Sasa wengi huwa hawalijui hilo
 
Mkuu tafuta pesa umfungulie mkeo duka aingize pesa bila kutoa jasho ili aendelee kuwa pambo la nyumba unataka afanye kazi juani achakae umkimbie??
 
Ukimuacha mwanamke baada ya kufanikiwa ni lazima atakufanyizia.
Usikimbie damu yako ni laana hata kama umekimbia gubu makelele endelea kumuhudumia na familia.
Gubu na makelele mnayasababisha wenyewe maana unakuta unachepuka mpaka mkeo anajua sasa kuna wengine hawawez kukaa kimya, akiongea unasema gubu, be faithful to your wife afu uone kama kutakuwepo na makelele
 
Back
Top Bottom