Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
😂😂wengine tupo tupo tu..mixer ya hormone za kiume bas dah!
Excellent question.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wanaume vilaza kweli umewapa ushaur lakini watakuja tu kutuoa kina demiss ambao tuna kitu kimoja tu hapo Vagina
Dunia haiko fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umedanganya mchana kweupe
Wazazi wana akili lakini mtoto hana kosa la nani?
Mazingira yapi unayozungumzia mpaka mtoto asiwe na akili?Naomba ufafanuzi kwa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umekosea.Wasomi hatutumii maneno kama kudanganya au uongo.
Psychology. Inasema intelligence is affected by
1. Nature
2. Nurture
I am not sure if you can understand.it is heredity and also can be influenced by nature.although the odds can happen pia.but those two things affect intelliegence during child development in the womb from day one or after birth.
Wasiwasi wangu sijui kama umeelewa.[emoji23][emoji23][emoji23]
NOTE: Anaweza kuwa zero brain lkn si katika mambo yote.Na hii ndio sababu kubwa ya wazee wa zamani walikuwa wanawachagulia vijana wao mwanamke wa kuoa.
Siku hizi tunachukua chukua tu mwisho wa siku unapata watoto zero brain alafu unawalaumu kumbe kosa ni lako mwenyewe.
Kamwenee, lakini na wewe Demi mbona unakimoja tu? Kwanini lakini, hebu ongezea ongezea hata nusu nusu ktk vile viwili vilivyobaki, usinikatishe tamaa banaaa!!Kamweeene mweeee mweee najua wanaume wanafata vagina hayo mengine mnavumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mpuuzi(kidding)😁 tangu uoe una akili sijui zamani ulikuwa akili umezikodisha?“If you’re beautiful and have a brain and a vagina, you can own the world.”
Wanawake wengi hawajui hilo.ila ni ngumu pia kupata wa namna hiyo mwenye hizo sifa kuu tatu.
1. She is Beautiful
2. She has a Brain
3. She has a Vagina ( ashakum si matusi)
Dunia yote inakuwa kwenye kiganja chako. Hakuna sehemu ambayo mwanamke wa namna hii hawezi pita. Hakuna sehemu atakwama katika kusaka mafanikio yake.
Kama unataka kuoa rafiki yangu oa mwanamke mwenye BBV yaani Beauty, Brain and Vagina. Ila wewe sasa unapaswa uwe tu SMART. hapo ni muhimu sana.
Nawashauri tu wanaume wenzangu acheni ku date wanawake wapumbavuh, wanawake vilaza. Maana hayo mambo yanaambukiza.
DuuuhNi kweli bwana mtoa sredi...!sasa wengine hapo hatuna hata 1[emoji23][emoji23]
😂😂😂
Kamwenee, lakini na wewe Demi mbona unakimoja tu? Kwanini lakini, hebu ongezea ongezea hata nusu nusu ktk vile viwili vilivyobaki, usinikatishe tamaa banaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa GOOGLE sio INSTAGRAM, uwe inafuata maelekezo
Demiss,kusoma hadi chuo ni fursa tu wala sio akili mdio maana wengi wa wanaojiita wasomi hawana cha kuwahamasisha wasiosoma wajutie kutosoma.