PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Sasa vaginal c kila mwanamke anayo...Haha umenifanya nirudi juu, lakini mwandishi amemaanisha hivyo hivyo vagina
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa vaginal c kila mwanamke anayo...Haha umenifanya nirudi juu, lakini mwandishi amemaanisha hivyo hivyo vagina
Sent using Jamii Forums mobile app
How dya blame God? And why?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wanaume vilaza kweli umewapa ushaur lakini watakuja tu kutuoa kina demiss ambao tuna kitu kimoja tu hapo Vagina
Dunia haiko fair
Sent using Jamii Forums mobile app
me naona cha muhimu chura! Akili tutatumia yakwanguKweli kabisa tena mwanamme msomi na mihela yake smart analilia vagina ya Demiss ambaye hana vitu hivyo vingine
Hapo ndo utajua dunia duara
Sent using Jamii Forums mobile app
me naona cha muhimu chura! Akili tutatumia yakwangu
mm kwangu cha muhimu churaKila mwanamme anakile anachokipenda kwa mwanamke huwez kumlazimisha apende mwanamke gani?
Kuna wanawake wanavyo vyote hivyo lakini siyo wife material ndoa zao zina migogoro kama yotee
Ukitaka kuoa omba upate mwanamke anayejitambua tu basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa tena mwanamme msomi na mihela yake smart analilia vagina ya Demiss ambaye hana vitu hivyo vingine
Hapo ndo utajua dunia duara
Sent using Jamii Forums mobile app
“If you’re beautiful and have a brain and a vagina, you can own the world.”
Wanawake wengi hawajui hilo.ila ni ngumu pia kupata wa namna hiyo mwenye hizo sifa kuu tatu.
1. She is Beautiful
2. She has a Brain
3. She has a Vagina ( ashakum si matusi)
Dunia yote inakuwa kwenye kiganja chako. Hakuna sehemu ambayo mwanamke wa namna hii hawezi pita. Hakuna sehemu atakwama katika kusaka mafanikio yake.
Kama unataka kuoa rafiki yangu oa mwanamke mwenye BBV yaani Beauty, Brain and Vagina. Ila wewe sasa unapaswa uwe tu SMART. hapo ni muhimu sana.
Nawashauri tu wanaume wenzangu acheni ku date wanawake wapumbavuh, wanawake vilaza. Maana hayo mambo yanaambukiza.
WAPO, GOOGLE "SHEMALE"
Mungu hausiki. Akili inatokana na
1. Kurithi/ Asili (Wazazi)
2. Mazingira /Makuzi