Mwanamke mwenye hivi Vitu Vitatu.... (BBV)

Hapo umekosea.Wasomi hatutumii maneno kama kudanganya au uongo.

Psychology. Inasema intelligence is affected by
1. Nature
2. Nurture

I am not sure if you can understand.it is heredity and also can be influenced by nature.although the odds can happen pia.but those two things affect intelliegence during child development in the womb from day one or after birth.

Wasiwasi wangu sijui kama umeelewa.😂😂😂

Hapo umedanganya mchana kweupe
Wazazi wana akili lakini mtoto hana kosa la nani?
Mazingira yapi unayozungumzia mpaka mtoto asiwe na akili?Naomba ufafanuzi kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umekosea.Wasomi hatutumii maneno kama kudanganya au uongo.

Psychology. Inasema intelligence is affected by
1. Nature
2. Nurture

I am not sure if you can understand.it is heredity and also can be influenced by nature.although the odds can happen pia.but those two things affect intelliegence during child development in the womb from day one or after birth.

Wasiwasi wangu sijui kama umeelewa.😂😂😂
Na hii ndio sababu kubwa ya wazee wa zamani walikuwa wanawachagulia vijana wao mwanamke wa kuoa.
Siku hizi tunachukua chukua tu mwisho wa siku unapata watoto zero brain alafu unawalaumu kumbe kosa ni lako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom