Mwanamke mwenye akili bado nakuhitaji

Mwanamke mwenye akili bado nakuhitaji

tepetepe

New Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
3
Reaction score
3
Habari wapendwa nimerudi tena kuwasilisha nia yangu ya dhati ya kuvuta jiko na Kwa maoni yangu December mwaka huu isipite bila kupata mtoto wa kuwekwa ndani kuhusu dini me ni Lutheran Ila hicho sio kigezo sana.. Nawasilisha hoja na pia nakaribisha maombi Kwa mabidada mliopo humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekua wanatangaza ki rahisi hivo kila mtu angekua na mke nyumbani.......toa ufafanuzi wewe una kazi gani kipato chako unaishi wapi unaumri gani? Kwanini ujaoa mpaka leo? Kwenu mna nini? Umejenga wapi nk aina ya gari unayo endesha kama huna sema....nk mtu asije anakosea kuchagua c unajua u handsome wamwana umme ni walleti yake sikingine

Kwani anaolewa na vitu au na mtu?
Eti kwenu mna nini haaaa kazi kweli kweli ...

Vitu vinatafutwa mkuu na vinaundwa na kupotea kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom