Na uzito unachangia.
Hapa mwanamke mvivu akiwa katika foleni ya kulipa bili.............
unadhani atapungua.... kwa style yake ya kufanya mazoezi ya Kupunguza unene
Hawez pungua kwani hana hata jitihadi za kujipunguza. Ye mwenyewe kaisha jibeba ka mzigo. Hata mazoez anayafanya kimzigo mzigo ka kalazimishwa.
Kulipa bill? Bill gani wakati katika Hiyo stage hata chakula ajachagua ( Burger King )