Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

maisha yamebadilika
 
huu ni muda wao sasa kutafuta
 
Hizi zote ni porojo, Ni Mungu pekee aliyeona hitaji la kuwa na mke au mume.

Na ndoa ni takatifu, utakatifu haujawahi kuwa wa mwanadamu.

Kama hujamshirikisha Mungu hiyo ndoa utakuja kuandika uzi humu ndani ukiwa huitaki ndoa tena.
Mungu hutumia binadamu kufanya maamuzi
 
Watoke tu angalau wakutane na sisi wakataa ndoa tuwaambie live kwamba hatutaki ndoa
 
Kwa mfano mimi hapa natafuta mke! Usidanganywe na avatar! Njoo inbox! Uenda mimi ndo mmeo mtarajiwa
 
kumtafuta haina maana ya kufunua chupi
Sasa kama anawatafuta mpaka anafungukia anawapenda,lazima watataka wamkague kwanza. Ndio hapo atakaguliwa sana. Dunia ya sasa sio ile unayoiwaza wewe. Dunia imegeuka haileweki kabisa. Dunia pamekuwa mahala pa ovyo sana kuishi.
Vinginevyo mwambie huyo msichana ajue tu kuna kuolewa lakini pia asipoolewa ajue tu ni sawa hakuna waoaji
 
With time kila mmoja atapata wake

Cc Smart911

Kutokana na sensa, Changamoto za maisha na huu utaratibu wa kuinpower upande mmoja,
Wanaume waliotayari kuoa pengine ni 35% hivyo kuna gap kubwa sana.
Wasipo badili utaratibu kuruhusu ndoa ya wake zaidi ya mmoja kama waislam; Jua tu, wanawake wengi watabakia bila kuolewa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…