Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

Nilikua nimeshasahau kama nilishakutongoza hadi nilipofungua pm
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaaah skutegemea hii reply
 
Tatizo wanachelewa sana hadi ule muda wa mapenzi chipukizi unakuwa umepita sanaa. Unakutana na mtu age imeenda ana mastress kibao ya maisha, uchumi, mahusiano, familia yake, hana life plan, yupo tu ni mwanamke ila hana uhalisia wa mwanamke.

Hapo ndipo shida inakuwapo. Wanaume matapeli wanatumia sana mwanya huu kuwatapeli hawa watu maana wanakuwa hawana focus nzuri tena wana mawenge. Akija mwanaume mstaarabu wanamuona tapeli maana hawajui quality za mwanaume bora wamezoea kupigwa matukio.

Akija mpigaji wanaruka nae sababu wanapenda ule uongo uongo una sukari nyingi na ni mtamu sana.
 
Wapo wengi sana wanapatikana umri kati ya miaka 19 hadi 25. Utasikia "kwasasa mimi sipo tayari kuwa kwenye mahusiano wala ndoa, kwasasa nimefocus kufikia ndoto zangu"

Tafasiri yake ni "unataka na mwili wangu mbichi huu nikae ndani kama mdoli niwe na mwanaume m'moja wa ndoa niache kuliwa na wanaume tofauti tofauti nifurahie usichana wangu kwa raha, niache kupigwa mashine na kupelekwa viwanja vya bata vyote nikae na mtu m'moja? Ngoja kwanza niliwe nikishachoka nikiona mwili umeanza kuzeeka sasa ndio nitatulia nitafute bwege ambae hatani judge anioe nikatulie"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona mtu anakosa mke/mume mtaani mpka akaenda church kumtafuta bas anashida
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaaah skutegemea hii reply
Vipi nipige verse ya pili au ile moja inatosha?
 
Nadhani ifikie mahali serikali itunge sheria ya kulazimisha vijana waliofikia umri wa kuoa waoe! Vikundi na vyama vya "Kataa ndoa" vivunjwe na kupigwa marufuku.
Wanawake wengi wanatamani kuolewa lakini Vijana wa kiume hawataki kuoa!
 
tujitahidi kuwashauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…